nauliza kwa doctor yeyote ugonjwa uitwao Staphylococas ni upi kuna mgonjwa kapimwa na pia dawa za antibiotics kama tetracline,cipro,amoxciln,pennicilin hazijamtibu baada ya kuweka kwenye culture,hebu nielezee na madhara yake na dawa ipi atumie kwani ni mdada anaumia tumbo la uzazi.