dawa hatari kutumia,soma zaidi,

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,446
2,490
nimeituma hii habari jukwaa hili walau wengi mpate kuona najua jukwaa la JF doctors wengi hawapiti pale.Tafadhali moods iacheni hapa wengi waisome walau kwa leo kuokoa maisha.kama ishapostiwa basi si vibaya wakairudia


From, Dr. Malebo H. (NIMR).


Please take this seriously and if possible keep a copy at HOME....!!!


Make a checklist, check whether this
medicine is in your home or whether it has
been recommended by your doctor....
please DO NOT use it...


Please Read Very Carefully -INFORM
ALL YOUR FRIENDS & FAMILY MEMBERS


Asia and Africa has become a dumping ground for banned drugs; also
the business for production of banned drugs is booming. Plz make sure
that u buy drugs ! only if prescribed by a doctor(Also, ask which company
manufactures it, this would help to ensure that u get what is prescribed at
the Drug Store) and that also from a reputed drug store. Not many people
know about these banned drugs and consume them causing a lot of
damage to themselves. We forward Jokes and other junk all the time. This
is far more important.


Please make sure u forward it everyone u know.


DANGEROUS DRUGS HAVE BEEN GLOBALLY DISCARDED BUT ARE
AVAILABLE IN INDIA and can be exported / smuggled or produced in other
countries by Indian Pharmaceuticals. The most common ones are Action 500 &
Nimulid!!!!!!


1. PHENYLPROPANOLAMINE : cold and cough. Reason for ban : stroke.
Brand name : Vicks Action-500


2. MIST EXPECTORANT SEDATIVE : cold and cough. Reason for ban : cancer.
Brand name : MES


3. ANALGIN: This is a pain-killer. Reason for ban: Bone marrow depression.

Brand name: ! Novalgin


4. CISAPRIDE: Acidity, constipation. Reason for ban : irregular heartbeat
Brand name : Ciza, Syspride


5. DROPERIDOL: Anti-depressant. Reason for ban : Irregular heartbeat.
Brand name : Droperol


6. FURAZOLIDONE: Antidiarrhoeal. Reason for ban : Cancer.
Brand name : Furoxone, Lomofen


7. NIMESULIDE: Painkiller, fever. Reason for ban : Liver failure.
Brand name : Nise, Nimulid


8. NITROFURAZONE: Antibacterial cream. Reason for ban : Cancer.
Brand name : Furacin


9. PHENOLPHTHALEIN: Laxative.... Reason for ban : Cancer.
Brand name : Agarol


10. OXYPHENBUTAZONE: Non-steroidal anti-inflammatory drug. Reason for ban :
Bone marrow depression.
Brand name : Sioril


11. PIPERAZI! NE: Anti-worms. Reason for ban : Nerve damage.
Brand name : Piperazine


12. QUINIODOCHLOR: Anti-diarrhoeal. Reason for ban : Damage to sight.
Brand name: Enteroquinol



PLZ SPREAD THE INFO....YOU MAY JUST SAVE
SOMEONE'S LIFE.
THE INFO....YOU MAY JUST SAVE
SOMEONE'S LIFE.


TFDA MKO WAPI? HAWAJUI HILI?
 
Jamani, mbona mnatuzebeza hivyo? Kwani NIMR na TDFA wako nchi gani na chini ya Wizara gani? Ni kama mazingaombwe hivi!
 
sijui nchi imeuzwa kila kitu kwetu ruksa
hizi dawa zishapigwa marufuku duniani kwani zinzsababisha cancer
sisi bado wanetu wanapewa.
 
ndio hivo tujilinde kiafya
hawa ndeugu zetu kutoka kule india wanataka kutumaliza
kuna dawa wanazalisha na viwanda vyao ambazo hata kule kwao hawathubutu kuuza
sisi ni shamba la dawa zao
 
ndio hivo tujilinde kiafya
hawa ndeugu zetu kutoka kule india wanataka kutumaliza
kuna dawa wanazalisha na viwanda vyao ambazo hata kule kwao hawathubutu kuuza
sisi ni shamba la dawa zao

hakuna cha kushangaa hapa wao wanatumia uwendawazim wetu kufanya mambo haya ya ajabu.

Ikiwa viongozi wetu na mafisadi wakiumwa kidogo tu mbio india hata mafua tu wanakimbilia huko na huku hapa tz kuna wataalam kibao.

Ndiyo mana viongozi wetu wanakimbilia india kutibiwa hawathubutu kukubali hata kunywa panado ya tz kwani wanajua ukanyanja na ****** watufanyiao raia maskin.
 
uko sawa mkuu
cha muhimu tujilinde sisi mapema
kuna makala ingine kuhusu njama za USA kuangamiza afrika kwa hizi dawa zao za vitamini A kwa watoto
utafiti uliofanya Kilimanjaro umeonyesha watoto wengi waliopewa hizo dawa wameshaanza kuathirika kama kupooza na kuwa kama mazezeta wakati walizaliwa wazima
tuwe makini na hizi chanja kwani vitamini A tunaweza kuwapa vyakula ikatosha
habari zaidi na evidence zitawajia punde
hakuna cha kushangaa hapa wao wanatumia uwendawazim wetu kufanya mambo haya ya ajabu.

Ikiwa viongozi wetu na mafisadi wakiumwa kidogo tu mbio india hata mafua tu wanakimbilia huko na huku hapa tz kuna wataalam kibao.

Ndiyo mana viongozi wetu wanakimbilia india kutibiwa hawathubutu kukubali hata kunywa panado ya tz kwani wanajua ukanyanja na ****** watufanyiao raia maskin.
 
Hii iwe fundisho pia kwa wale wanaonunua dawa bila kuandikiwa na dr, na wanaotoa prescription mtandaoni! Ukipewa dawa hakikisha unachukua kwenye original package, angalia kikaratasi cha ndani ya box na ukisome, google usichoelewa!
Mtoa mada NIMR wanasemaje kuhusu Pioglitazone?
 
uko sawa kingasti
tuwaelimishe na wengine zaidi
Hii iwe fundisho pia kwa wale wanaonunua dawa bila kuandikiwa na dr, na wanaotoa prescription mtandaoni! Ukipewa dawa hakikisha unachukua kwenye original package, angalia kikaratasi cha ndani ya box na ukisome, google usichoelewa!
Mtoa mada NIMR wanasemaje kuhusu Pioglitazone?
 
aisee ahsante sana mana nilikuwa natumia nimulid wakati wa MP kutokana na aumivu makali but hazipo tena pharmacya kitambo kidogo niliulizia wakanambia zimepigwa marufuku
 
Back
Top Bottom