Dawa feki za malaria zaingizwa nchini

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Ni ukweli usiopingika kuwa Watanganyika kwa mda mrefu sasa tunatumiwa kama sample za majaribio kwa madawa yanayotengenezwa na 10% za wanasiasa wetu. Kwa sababu karibu kila waziri anayekuja hutangaza dawa zake na kwa kuwa nami ni sample mojawapo niliikubali sana Dawa mseto ya malaria ya kwanza kabisa iliyokuwa inatoka Marekani na ilikofia na tumechakachuliwa na kuletewa ya Kichina toka India ni ukweli usiopingika kuwa haitibu bali inapooza malaria

Na kwa taarifa ya leo ktk gazeti la Nipashe kuwa dawa feki za malaria zimeingizwa nchini ni wazi ni dawa za wakubwa tunaokufa ni sisi Kama kweli wahisani na serikali wana nia ya kutokomeza malaria kwa nini tusitibu chanzo?
 
Baba Mwanahasha tuhurumieni wananchi wenu. Mnatuua kwa ufisadi, tumeridhika kufa tukijiona, sasa kama hiyo haitoshi mmeona mtupe sumu kabisa kuharakisha vifo vyetu? Sasa tukishakufa mtamtawala nani, baba Mwanahasha na wenzio? Tuhurumie wenzio kwani wewe ndie mkubwa wao, wakataze basi hata kwa kutoa tamko japo la kuzuga kidogo ili waogope!
 
what do you expect to a country ambayo rais mwenyewe feki....lazima vitu viwe feki
 
Cjaona nchi iliyojidharau kama hii!pamoja na utandawaz kweli tumeshndwa kabisa kuwa na mamlaka thabiti kudhibiti mambo kama haya?kila kitu siasa na ufisadi.tutaponea wapi?mara kadhaa tunaona kwenye runinga mara tv feki zinateketezwa,swali linakuja inakuwaje mzigo mkubwa vile upite point zote bila kugundulika!?
 
Hii nchi ilisha nunuliwa, sikuona sababu ya kukiuwa kiwanda cha madawa Moshi. Kama mnakumbuka waliokuwa wanazijua dawa za hicho kiwanda zilikuwa ni nzuri lakini mafisadi wakakiua.

Mambo yatajilipua taratibu, elimu inaanza kuwasha taa.
 
Back
Top Bottom