Dawa Asili ya Kusaidia Upatikanaji wa mimba

Ukweli1

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
550
333
Hii dawa nimeiona kwa page ya mtu nikaona nilete JF Doctor labda kuna mtu atasaidika sijui chochote nimecopy na kupaste namuita babu MziziMkavu ili kama ni sumu akemee mapema aliyepost katumia na kashuhudia kapata watoto pacha na kuna baadhi ya marafiki zake wako kwa process ya kutumia.

Nanukuu

"hili kwa wale wenye matatizo ya uzazi sana sana wenye mirija iliyoziba hawawezi kupata ujauzito wafahamu NUNDU, MAINI na NGESI ni dawa tosha la kufumbua tatizo? nunua nundu iliyo jaa sana mafuta robo kilo na maini robo kilo katakata vipande vidogo vidogo usivioshe kwa kuwa haitakiwi kuwa na maji vichanganye kwenye sufuria moja ongeza chumvi kidogo sana kwa ajili ya radha nunua ngesi nadhani inauzwa 3000 kijiko kimoja cha chakula na inapatikana kwa wamasai iko kama mbegu za bamia ila rangi ya kahawia weka ndani ya mchanganyiko wako pika kwa moto mdogo na uwe unageuza geuza mpaka maini yatoe maji na nundu itoe mafuta viive kabisa. kula baada ya kumaliza mp then hesabu siku 15 rudia tena kula"

Nawatakia mafanikio mema wale wote wanaotafuta watoto.
 
Last edited by a moderator:

Mhhh Hiyo Dawa hiyo mimi siamini kweli kama

inatibu hayo matatizo ya kutopata uzazi kwanza hayo mafuta peke yake yanaleta maradhi mwilini je yageuke kuwa

Dawa, mhhh siwezi kukubali au kukataa aliyetowa Dawa lazima atupe namba yake ya simu akidhurika mtu tujuwe wapi

pa kumpata. Siwezi kukwambia kama ni dawa ya ukweli sina uhakika nayo na dawa kama Dawa sina uhakika nayo siwezi

kukwambia uitumie hiyo ni shauri yako mwenyewe. Mchanga wa Pwani huo mimi simo Ukweli1
 
Asante mkuu ndio maana nikakuita najua umri ni dawa na unauzoefu katika hii field, kama nilivyosema sijui kitu nilivutiwa na ushauri na ushuhuda wake na comments nyingi nilizoona kutoka kwa watu mbalimbali na ninajua kuna wengi wana matatizo nikaona niletee mkuu tulijadili kama linaweza saidia watu but kama nilivyosema ni copy and paste.
Je anasema alivomit sana na diarrhea sana sizani kama mafuta yalibaki kwa jinsi alivyokuwa anajibu comments za watu kuwa yalimtesa ila alitumia tu na ndio hivyo pacha.
Afya ni muhimu zaidi asante MziziMkavu kwa ushauri.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mmama mmoja na dada wawili walikua wamesumbuka kwa muda mrefu lakini walipo ni pm nikawasaidia kuna watu mungu ametujaalia mbegu bora hadi leo wana watoto kwenye ndoa! siri nnayo mimi japo ni wangu ila walinilipa tukamalizana. Pm
 
Back
Top Bottom