David Silinde ashinda kesi yake ya kupinga ushindi wake dhidi ya DR lucas Siame

Dr. siame kaendelee na kazi yako ya udaktari bingwa wa macho kwani ulilikanyaga mwenyewe kwenye siasa.
 
Au sio bana, ni ile kesi ambayo Shitambala alinyimwa uwakili baada ya kuwa na dalili za kuuza mechi, wapi Shitambala?
 
Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu. (Mambo ya Walawi 11:07-08)

ushindwe na ulegee kabisaaa...
 
Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu. (Mambo ya Walawi 11:07-08)

We umelogwa na aliyekuloga kashakufa au otherwise umekula kuku wa dawa.Huku umefuata nn?
 
Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu. (Mambo ya Walawi 11:07-08)

mwambie aliyekutuma! wenyewe hujawakuta!
 
Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu. (Mambo ya Walawi 11:07-08)

Naye akawaambia, "Je, hata ninyi hamwelewi? Je, hamwelewi kwamba kitu kinachomwingia mtu toka nje hakiwezi kumtia unajisi,

Marko 7:19 kwa maana hakimwingii moyoni, ila tumboni, na baadaye hutolewa nje chooni?" (Kwa kusema hivyo, Yesu alivihalalisha vyakula vyote.)

7:20 Akaendelea kusema, "Kinachotoka ndani ya mtu ndicho kinachomtia najisi.

7:21 Kwa maana kutoka ndani, katika moyo wa mtu, hutoka mawazo mabaya, uasherati, wizi, uuaji,
 
Dr. siame kaendelee na kazi yako ya udaktari bingwa wa macho kwani ulilikanyaga mwenyewe kwenye siasa.

Yaani watu muhimu kwenye jamii kama hawa wanakimbilia siasa, mbaya sana hii. Serikali yapaswa kuwaboreshea maslahi maana wanakimbilia siasa kwa ajili ya maslahi na si kingine
 
Breaking Newzz:Nako huku Mbeya Makama kuu imetupilia mbali hoja za Dr.Luca Siame alizofungua kesi ya kupinga Ushindi wa Jimbo la Mbozi Magharibi.
Mhe.David Silinde ameshinda kesi hiyo hii leo.
Uhuru na Haki katika Utendaji wa Mhakama bado unaendelea katika Kesi za Uchaguzi......!!!

Asante kwa updating, hizi kesi za chaguzi zilizofunguliwa na ccm zinaitwa kesi za Yusuf Makamba, akiwa bado katibu mkuu wa ccm ndiye aliyeprompt wafungue hizo kesi.
 
Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu. (Mambo ya Walawi 11:07-08)

[h=1]Forum: Jukwaa la Siasa[/h] Tanzania's Political Forum. Tafadhali hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
 
Breaking Newzz:Nako huku Mbeya Makama kuu imetupilia mbali hoja za Dr.Luca Siame alizofungua kesi ya kupinga Ushindi wa Jimbo la Mbozi Magharibi.
Mhe.David Silinde ameshinda kesi hiyo hii leo.
Uhuru na Haki katika Utendaji wa Mhakama bado unaendelea katika Kesi za Uchaguzi......!!!

Ahaaaaa, leo ndiyo nimefahamu unafiki wa wana Chadema hapa jukwaani, kumbe kwenu haki ni pale Chadema wakipewa jimbo, ila kwa Ccm(Mahanga) inakuwa haki haijatendeka?.
.
"Ama kweli nazidi kuamini kuwa WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Kwa Jimbo la Segerea... Aaah we kamuulize Mahanga mwenyewe...
 
Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu. (Mambo ya Walawi 11:07-08)

Na
NGAMIA, ingawa anacheua, na anazo kwato bali si mwenye miguu iliyopasuka kati, yeye ni NAJISI kwenu. Msiile nyama yao wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu (Mambo ya Walawi)
 
Back
Top Bottom