TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,698
- 11,033
Mwaibula was one of the hopeless people. Alikuwa na siasa za design ya Makamba, hakuna lolote la maana alilofanya. Tatizo la usafiri kuwa shaghalabagala Dar es salaa haliwezi kushughulikiwa kwa kupaka magari rangi, kunatakiwa njia yenye akili zaidi kama wanazotumia wenzetu wa nchi zilizoendelea. Sioi Mwaibula style, na akienda Iringa huenda atapiga kelele kelele tu, naona anfaa kufanya kazi ofisi moja na Makamba!
Wewe lazma una matatizo na huyu baba; kupanga rangi ni sawa, we need to mark haya magari ili kusaidia control na monitoring yake; hilo la ku-suggest ati atumie akili kama za majuu nadhani umefuka big time!! akili alizotumia hata majuu hamnazo....
Kumbuka he had to work within the circumnstances, yaani hakuna barabara mpya, hakuna support ya ziada kifedha na population was increasing; he did a ery good job and at least he know hali halisi ya dar na adha ya usafiki in person
Unless unataka kutuambia kwamba ungefanya vizuri zaidi... which i doubt!!!