kweleakwelea
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 3,065
- 1,535
lazima wewe unamfahamu vizuri na pia ulisoma naye sua. Kwa jinsi ulivyoeleza haiwezekani source ikawa waliosomanaye maana ni 99 % true. Namfahamu matayo ingawa siyo rafiki yangu na huyu bwana ni kweli at one time alikuwa pretoria msc in animal science na alikuwa anafanya thesis na pia ana mpango wa register for phd free state wakati anamalizia. Ila kitu ambacho siwezi kuthibitisha kama alimaliza hiyo phd degree program yake maana sijaona publication yeyote kwenye google yenye jina lake. Kawaida vyuo vya rsa huwa vinapublish thesis kwenye mtandao. Halafu kitu kingine huwezi kugraduate phd rsa bila kupublish paper!! Sasa unaweza ku-google ili kuthibitisha hilo baada ya kuandika hisia zako na kjalibu kumchafua mtu bila sababu.
though free state is also not an accredited university!