Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 412
Aliyekuwa mkurugenzi wa shirika la ndege Tanzania (ATCL) Davidi Mataka amepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu akituhumiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi.
Tuhuma hizo pia zinahusisha ubadhilifu wa pesa zaidi ya sh. Bilioni 1 zilizotumika kununua magari chakavu.
Chanzo: Mwananchi
Tuhuma hizo pia zinahusisha ubadhilifu wa pesa zaidi ya sh. Bilioni 1 zilizotumika kununua magari chakavu.
Chanzo: Mwananchi