David Kafulila: Rais 2015 Lazima Atokee Kigoma

Status
Not open for further replies.
Naanza kuamini nilichokuwa nahisi....KIGOMA HAIAMINIKI! Sio mbaguzi, lakini tangu alichokifanya kabouru(samahani kwa kukosea kuliandika) na anayoyafanya Zitto na Kafulila.....naanza kuamini kuwa hisia zangu zilikuwa/ziko sahihi!
 
Kafulila na Zitto lao ni moja, wanadhani huyo rais atapigiwa kura na kigoma 2? Unaposema kigoma tumeonewa sana sasa inamaana huyo Rais atachaguliwa ili kulinda maslahi ya kigoma 2 na vipi sisi wa tabora tumtoe rais wetu? Pia unasema nchi ya malyasia na S.A kuwa wanataka Zitto awe Rais inamaana sisi wenye hatuwezi kuchagua mtu wetu mpaka wao watuchagulie? Hapa ndipo napopata tabu juu ya viongozi wetu vijana tuliodhani kuwa ni wakombozi nadala yake kumbe ni wachumia tumbo tu na wanazidi kutuondelea imani sisi vijana wenzao mbele ya jamii.
Mimi haka ka Kafulila ukikaangalia tu unaona ni kajitu fulani kanafiki n kapenda madaraka sana.Sasa hebu tafakari alichoongea, sidhani kama amefikiria hata ameongea nini.
 
Naanza kuamini nilichokuwa nahisi....KIGOMA HAIAMINIKI! Sio mbaguzi, lakini tangu alichokifanya kabouru(samahani kwa kukosea kuliandika) na anayoyafanya Zitto na Kafulila.....naanza kuamini kuwa hisia zangu zilikuwa/ziko sahihi!

Kuna mtu hapa sikumbuki lini aliwahi kusema Kigoma ni mkoa ambao umekuwa na sifa ya kutoa wanasiasa wasaliti.Kwa kweli sasa naweza kabisa kukubaliana na hilo.
 
maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma

" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono, tukafika Kigoma wakarudia maeno yale yale ya kumuunga zitto. Iweje leo wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"

----------------------------------
Edward Lowassa For President 2015

Leta ushahidi hapa....
 
Itafikia pahala watu wa kaskazini watajiuliza kama ni kosa kwao kuwa watanzania!Kama ni kweli kuna watu wanaamini kuwa uongozi/urais hautakiwi kutokea kaskazini,yani kwamba hawakubali mtawala wa kaskazini,kutakuwa na ubaya gani kama watu wa kanda nyingine nao wakikataa kutawaliwa na watu wasiokuwa wa kanda yao?Mi naona haina haja ya kugombana,Kigoma chagueni rais wenu,Mbeya wafanye hivyo etc etc.Ni unafiki kwa wanaojiita watanzania kutoa kauli kama hizo.Hakuna haja ya kujiita mtanzania kama kuna watu wa kanda flani unaowaona si watanzania.
Hakuna kitu kinachonifanya nimdharau mtu hata kama ana umri gani au msomi wa calibre gani anapotamta suala la ukabila na Udini....Hii ni tabia chafu sana! Watu wanaongelea umajumui wa Afrika huku tunaongelea umajumui wa makabila na dini.We are funny creatures!
 
Kafulila subiri mahakama ianze punde, uvuliwe ubunge sijui utakwenda wapi kuganga njaa. We si ndo ulilia kama mtoto ulipopigwa chini na Mbatia. Hebu acha hizo longolongo, Tafuta tawi la kujishikilia.
 
ZITTO na KAFULILA hawaaminiki nje na ndan ya vyama vyao 2waache wahangaike nja umaarufu usio na tija na Taifa
 
Kama tunataka balaa basi turuhusu Rahis atokee Kigoma!

Natangaza rasmi, Kigoma wote ni wahamiaji haramu!

Zitto mwenyewe M-Bembe sasa itakuwaje tutawaliwe na Mhamiaji kutoka Goma? Wasituchanganye hawa. Leo jamaa katangaza Nia, uwezo na uzalendo wa kuwa amiri jeshi mkuu anao na hana mashaka navyo vyote hivyo!!

Kaaaaaaaazi kweli kweli!!!
Ni kweli kabisa mkuu huyu jamaa hafai tena hafai.....
 
Mimi haka ka Kafulila ukikaangalia tu unaona ni kajitu fulani kanafiki n kapenda madaraka sana.Sasa hebu tafakari alichoongea, sidhani kama amefikiria hata ameongea nini.

Mkuu ungekaita hivi!

Hi Ki-Kafulila. Yaani hiki kijamaa hakifai hata kwa bure, sijui watu wa Kigoma walichagua kijitu gani hiki. Lakini ubaya wa chenyewe kikibanwa kinaanza kujilizaliza tu wala hakina maana! Nyamb...fff!!
 
CHADEMA mimi nashindwa kuwaelewa Mh zito akigombea uraisi kina shida gani?kama kukomaa mbona anaonekana kukomaa zaidi kisiasa zaidi ya viongozi karibu wote wa chadema yeye ni mchapakazi si kama viongozi wengine waropokaji tu na wala si watendaji,

Ujue kinachoisumbua CHADEMA ni ukabila na ndiyo maana hawataki mgombea urais atoke nje ya Arusha na kilimanjaro,uongozi wa juu wa chadema hawawezi kubali ata kidogo Mh Zitto awe raisi kwanza si mkristo na pili si mtu wa kanda ya kaskazini hawa watu udini na ukabila unawasumbua, Mh Zito njoo CCM hakuna udini wala ukabila!
 
Wachaga mna kazi kweli kweli udini na ukabila vinawasumbua sana huyu Zito anawaumiza sana kichwa mnamuonea sana wivu uwezo wake wa kisiasa na kukubalika kwa watu kwani akisema nia yake ya kuja kugombea uraisi kuna shida gani mbona mnakwazika sana,kunani? Na ole wenu mumuue kama Chacha Wangwe nanyi mtapukutika kama ***** manake si ndiyo tabia yenu!
 
Hata 2010 miongoni mwa wagombea urais alikuwemo aliyetoka Kigoma. Jamani, mwacheni tu yeyote agombee, maana ni haki ya kila mtanzania kama anakidhi vigezo. Uamuzi wa kumchagua au kutomchagua ni wa wapigakura.

Tatizo sio kutomchagua mtu...tatizo ni watu kusema "lazima rais atokee sehemu flani"....sasa tatizo ndo kama wanatulazimisha.
 
maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma

" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono, tukafika Kigoma wakarudia maeno yale yale ya kumuunga zitto. Iweje leo wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"

----------------------------------
Edward Lowassa For President 2015

Hv ni kafulila AMA kafulia? Maana huu ni utumbo, hii inaonyesha ni jinsi gani tuna wanasiasa vilaza wabinafsi na wenye uroho WA madaraka. Hv hiyo democrasia inayosema kwamba Lazima 2015 Rais ajaye WA TZ atoke Kigoma ni ya wapi tena? Hv anajua Maana ya democracy huyu? Na Kama anajua sasa huo ulazima unatokea wapi? Kumbeeeee! Kwa akili Hizi anastahili kufukuzwa kule NCCR. Inaelekea anna madudu mengi sana kichwa I mwake.
 
maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma

" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono, tukafika Kigoma wakarudia maeno yale yale ya kumuunga zitto. Iweje leo wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"
----------------------------------
Edward Lowassa For President 2015

Jamani huyu mheshimiwa sana inakuwaje tena? Kama ni kweli amezungumza haya ananitia MASHAKA kidogo. Huo ulazima WA Rais kutoka huko anakotaka yeye ndio democrasia gani tena?

Inamaana bila kuchagua rais kutoka Kigoma Tanzania hakuna demokrasia sio eeh! Inakuwaje na Mbeya NAo wakitaka Rais wao?

Vp Ndugu zangu Wasukuma ambao inaaminika ndio Kabila kubwa kuliko yote NCHINI Tanzania (estimation more than15mil. TZ citizens ni Wasukuma) Mmh! Naona maswali ni mengi kuliko majibu.
Hii ni hatari.
 
maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma

" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono, tukafika Kigoma wakarudia maeno yale yale ya kumuunga zitto. Iweje leo wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao.

----------------------------------
Edward Lowassa For President 2015

hivi huyu Kafulila si NCCR? Sasa inamaana NCCR haina mpango wa kutoa mgombea urais 2015? Au yeye atahamia CDM?
Zitto acha siasa za kihuni yan sijawahi ona mbunge wa chama tofauti anajitokeza hadharani kumnadi mbunge wa chama kingine wakat hata hiyo NCCR nayo ina wagombea wake! Achen kutufanya watoto.
 
maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma

" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono, tukafika Kigoma wakarudia maeno yale yale ya kumuunga zitto. Iweje leo wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"
Hawa ndio aina ya wanasiasa vijana tunaojivunia? Ndio marafiki(wasemaji?) wa Zitto tunayeaminishwa anao uwezo wa kuwa Rais! Hawawezi hata kufikiria zaidi ya mikoa/makabila yao! Juzijuzi nilisikia ule wimbo wa kigoma ulioimbwa na wasanii kadhaa 'wanaotokea'/'wenye asili' ya kigoma....nilidhani ni kitu cha kupuuzia tu/burudani tu kumbe kuna 'kigoma' injiandaa kuchukua nchi!
 
Sasa mbona hamueleweki mara maneno yaliongelewa kigoma mara sinza....uupuzi mtupu yaani kuanzia kafulila hadi zito wote ni waroho wa madaraka hawafai kabisa waogopeni kama ukoma

Hawa Jamaa wameshajipangia madaraka eti zitto rais kafulila makamu wa rais Tehe Tehe Tehe nA Mimi Leo nikilala naota kuwa mwanasheria mkuu kazi ipo. Izo nchi za us, ulaya etc wanaotaka rais kijana wao ni watanzania? Watampigia kura? Bora majimbo yabaki wazi kuliko ivi vimeo virus viendelee kuwepo cdm
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom