David Kafulila: Rais 2015 Lazima Atokee Kigoma

Status
Not open for further replies.

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
==============
Kwa Msomaji:

Mh. Kafulila kakanusha habari hii na kudai kuwa hajawahi kutoa kauli hii kokote na hivyo mjadala unafungwa kwakuwa habari nzima imepoteza maana
==============

maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma

" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono, tukafika Kigoma wakarudia maeno yale yale ya kumuunga zitto. Iweje leo wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"

----------------------------------
Edward Lowassa For President 2015
 
" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pamoja pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono zitto leo iweje wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"

----------------------------------
Edward Lowassa For President 2015

Hahahha! Hapo EL ndo mnapomchanganya kabisa, anyway naona kampeni zimeanza kupamba moto, bunge hili limekosa mwelekeo kila siku vituko haviishi na ndivyo vinasaidia kudeviate maada. Hata Marandu naye keshasema US wanataka awe rais, naona tujiandae kwa nchi kuparanganyika.
 
Sasa mbona hamueleweki mara maneno yaliongelewa kigoma mara sinza....uupuzi mtupu yaani kuanzia kafulila hadi zito wote ni waroho wa madaraka hawafai kabisa waogopeni kama ukoma
 
maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma

" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pamoja pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono zitto leo iweje wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"

Kama sikosei mwaka jana Zitto alienda Malaysia na kama kawaida media zika-report kuwa alialikwa na Waziri mkuu mstaafu wa Malaysia!!! yaani waziri mkuu wa Malaysia anamualika mbunge mmoja tu toka Tanzania!
 
Sasa mbona hamueleweki mara maneno yaliongelewa kigoma mara sinza....uupuzi mtupu yaani kuanzia kafulila hadi zito wote ni waroho wa madaraka hawafai kabisa waogopeni kama ukoma

Utaogopaje ukoma wakati hujaugua ukoma? lazima zitto awe rais kwanza ndo tumuogope
 
wewe mroho wa nini?tuliokuwa kigoma tuliona na tunajua kuwa Nassary alitamka,subiri video zimuumbue,mnafiki ni yule anayeyakana maneno yake.
 
KIGOMA si ndio kule ambao asilimia 75 ya watu wa huko ni Warundi na WaCongo???????? Sasa nao wanataka URAIS? Kweli kazi ipo 2015.

Akina Zitto ni Wakongoman. Kama anabisha aseme hapa hapa maana ni member humu. Kujua kupauyuka hovyo hovyo haina maana umependwa na Watz. Bora mkakomboe hiyo congo yenu. Alaaaaaaah

Kwani kijana ni Zitto tuuu. Hata sie wengine ni vijana pia na sio lazima tuwe marais.
 
maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma

" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono, tukafika Kigoma wakarudia maeno yale yale ya kumuunga zitto. Iweje leo wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"

----------------------------------
Edward Lowassa For President 2015

Kweli hii nchi ya wapiga domo dah!
 
maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma

" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pamoja pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono zitto leo iweje wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"

----------------------------------
Edward Lowassa For President 2015

Ni ufinyu wa akili kudhani sehemu fulani ya nchi itaendelea pindi tu wakitoa Rais....Arusha, Mwanza, Dar es salaam zimeshawahi kutoa maRais? Mtwara, Mara, Zanzibar, na sehemu nyingi tu za mkoa wa Pwani zilizowahi kutoa maRais zimeendelea sana eenh?

Iweje Africa ya Kusini, uJerumani na Malaysia zishinikize Rais kijana nawe uone ni 'point' ya kutolea reference...mbumbumbu, ndio maana huishi kutimuliwa kwenye vyama!
 
Naam kweli atatatokea Kigoma maana makafara tunayaona kila shirika la ndege likileta ndege huko lazima zipate ajali.
 
maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma

" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pamoja pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono zitto leo iweje wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"
Kafulila amewahi kumhakikishia Machali kwamba kulikuwa na Pesa ya kutosha toka nje ya nchi kufanikisha mpango wa kumng'oa Mbatia kwenye uenyekiti wa NCCR ili kusafisha njia ya Zitto kutimkia huko na jeshi kubwa la mamluki wake. Lazima ataharuki anapoona vijana wake wanamkana. Malengo ya hawa watu wa nje wanaotoa pesa yao ndiyo yanayotisha. Tuliyoyaona kwenye utawala wa Kikwete yanatosha.
 
sikuwahi kutegemea katika maisha yangu hapa tanzania nitaona nchi yetu inakumbwa na udini na ukabila. Nilikua naviona hivi vitu kenya na mataifa mengine but sikuwahi kufikiria tanzania yangu hii itatokea. Sasa hivi hapa kwetu waziri au kiongozi akitajwa kwenye mabano wanaweka kua ni muislam au mkristo. haya sasa imekuja kua chama hiki kina wafuasi wengi wa kaskazini. Ritz1 nae kasema rais hawezi kutoka kaskazini sasa akina kafulila wanasema rais lazima atoke kigoma. Wakati tuko wadogo ilikua ukiona viongozi wa nchi unawaona kama wote ni watanzania bila kujali huyu ni mdengereko au muislam...lakini sasa hivi kuna lile jicho la huyu mbona mzaramu na muislam huyo mbona mchaga katokea kaskazini na ni mkristo...eh maskini nchi yangu hiiii!!!
 
Mimi sioni mantiki ya ukabila,kama tukiendekeza ukabila basi wasukuma watawala milele!
 
ukweli husemwa:Taifa linasumbuliwa na fikra na mawazo ya wananchi wengi hasa wanasiasa kudhani kuwa siasa ni ajira badala ya kipaji cha kuwatumikia wananchi. Matokeo yake ndiyo haya tunayaona.

Hopeless society with hopeless politician on hopelessly politics.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom