David Kafulila ahamia NCCR Mageuzi akitokea CHADEMA

Me naona jamaa alichemka kumuita mwenzake sisimizi, lakini najua kwaajili kasema Dr Slaa watu mtakaa kimya.Hapo ndipo sometimes naona kuna Bias miongoni mwetu katika kuchangia mada.

Teh teh teh,

Mkuu Semenya muda mwingi huwa unanifurahisha sana. Ukinipa nafasi nitaleta posts zako kama dazani kadhaa hivi ambazo unalalamika sana kuwa wana JF hawafanyi kama unavyotaka.

Ukitaka mass support hapa mkuu, utalala mlango wazi (na kuruhusu sisimizi kibao waingie kwenye nyumba yako .... lol) if you get my rhaim.
 
Habari za weekend.

Weekend ilinichukua hadi visiwa vya belize ... somewhere in south/central america. Nimekutana na weusi kibao huko (wazawa) na waafrika kibao tu wahamiaji (hasa hasa toka Nigeria na nchi za afrika magharibi).

Jambo moja nililohitimisha kwenye safari yangu -- waafrika (weusi) ndivyo tulivyo no matter tuko wapi kwenye hii dunia ya adam na hawa.
 
Mimi mwanzoni nilitaka kumuita Kafulila kuwa ni tembo (yaani - vita vya tembo) lakini baadaye nikagundua kuwa kafulila hajafikia hata size ya kondoo (kama kwenye vita vya kondoo),
HAHAHAHAHAHAH
ah tumuache bwana aende zake, ila siasa za Tanzania bwana mmh, sijui tunajifunza au lah. kwakweli hazieleweki, zinashangaza na ni zakukatisha tamaa.
 
Weekend ilinichukua hadi visiwa vya belize ... somewhere in south/central america. Nimekutana na weusi kibao huko (wazawa) na waafrika kibao tu wahamiaji (hasa hasa toka Nigeria na nchi za afrika magharibi).

Jambo moja nililohitimisha kwenye safari yangu -- waafrika (weusi) ndivyo tulivyo no matter tuko wapi kwenye hii dunia ya adam na hawa.

wewe si huwa unajinadi kwa kumpinga Nyani eti tunajidhalilisha.teh teh teh teh teh.

Tena Mungu alitupendelea mno kutupa Afrika vinginevyo tungekuwa tushatoweka ktk uso wa dunia kama Dinosour ilivyopotea.
 
Me naona jamaa alichemka kumuita mwenzake sisimizi, lakini najua kwaajili kasema Dr Slaa watu mtakaa kimya.Hapo ndipo sometimes naona kuna Bias miongoni mwetu katika kuchangia mada.
Hujui kuwa wanachama wa MBOWE HAPA NDIO NYUMBANI KWAO?
 
Siasa za kibongo ni kwenda kule maslahi iko,hakuna cha itikadi wala nini,i'm sure ukimuuliza huu jamaa itikadi yake nini wala hata hajui,na huko alikoenda akikosa ulaji basi utasikia karudi CCM kwani wote ndo wanakoishia baada ya kutapatapa kote......
 
Me naona jamaa alichemka kumuita mwenzake sisimizi, lakini najua kwaajili kasema Dr Slaa watu mtakaa kimya.Hapo ndipo sometimes naona kuna Bias miongoni mwetu katika kuchangia mada.

Hiyo ni lugha ya picha tu jamani loh!
 
Lakini hawa walidaiwa ni sisimizi kwanini tujadili sisimizi wakati tembo wanataka kutushinda
 
6753d1258973202-a-ncccccccccr.jpg

mtanisamehe jamani inawezekana saikolojia yangu poor, ili hii cheka ya huyu chair wa NCCR ni kama vile, anakebehi kitu fulani, kama si Kafulila basi chadema, Ni cheka ya bosi fulani aliyejitosheleza na kutosheka ni kama vile anasema ''hapa mtakuja'' ni kama vile Kafulila aliondoka NCCR sasa anarudi tena......nahisi jamaa anacheka kama Denzel washington vile.

vyama vina mambo hasa akina NCCR, TLP siwaelewi mwenzenu..
 
Mbona bado ana magwanda ya Mbowe
 
..ameshindwa kufanya kazi na Mbowe[mmachame] anakwenda kujaribu kwa Mbatia[mmarangu].
 
Yule aliyekuwa Ofisa Habari wa Chadema, amekaribishwa muda mfupi uliopita ndani ya chama kingine cha upinzani cha NCCR-Mageuzi.

David Kafulila alikikimbia Chadema mapema wiki hii inayomalizika leo na kuwatuhumu viongozi wa chama hicho, Freeman Achikaeli Mbowe na katibu wake mkuu, Dk. Wilbroad Slaa, amepokewa na Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi, James Mbatia jijini Dar es Salaam na kupewa kadi ya uanachama.

Kafulila amesema kuwa ameamua kujiunga na NCCR kwa kuwa huko anaamini ataendeleza jitihada zake za kuimarisha upinzani Tanzania, ingawapia nadhani anajipanga ili kutimiza ndoto yake ya kuwania ubunge Kigoma Kusini baada ya kunusa kuwa Chadema wasingempitisha.

Kafulila, hadi anapewa kadi hiyo, ni mwanachama wa kawaida tu, ingawa kuna tetesi kuwa ameandaliwa cheo fulani hapo makao makuu, hasa cha habari ili kuanza kazi ya 'kuipaisha' NCCR mbele ya umma wa Watanzania.

Tusubiri tuone mwisho wake
Hatari ya siasa,aliyasema haya 2009 leo 2016 anayala matapishi yake.
 
Hawa ndio miongoni mwa WAPINZANI WANAFIKI NDANI YA NCHII HII.....na hii ni kithibitisho tosha kabsa ya kuwa haka kajamaa ni kachumia TUMBO hana sababu ya msingi ya kuhama NCCR still ataendelea nacho humo humo UKAWA...na hii ni nijia mojawapo ya kuuwa UKAWA......
 
Back
Top Bottom