David Kafulila ahamia NCCR Mageuzi akitokea CHADEMA

NCCR ni chama mfu. Ni mzoga tu ambao tunauona. Kafulila alijengwa na Chadema. NCCR hakina uwezo wa kufanya hicho.

Je yeye atakifanyia nini NCCR? Remains to be seen...but no much hope
Nilifkiri angeenda CUF..ameenda kwenye NGO nyingine with more less equal characteristics with former NGO chadema agh! hana washauri ..
 
NCCR ni chama mfu. Ni mzoga tu ambao tunauona. Kafulila alijengwa na Chadema. NCCR hakina uwezo wa kufanya hicho.

Je yeye atakifanyia nini NCCR? Remains to be seen...but no much hope

Teh teh teh
Slaa na mtei nao si wamejengwa na ccm.
 
Hii siku itakumbukwa sama kama mwanzo wa kumomonyoka kwa CHADEMA.

Kijana Kafulila alitaka kuongoza vijana wenzake wa CHADEMA, wenye chama wakamkatalia. Sijui walitaka aongoze akiwa na mkongojo.

Kahamia kwenye chama kilichokuwa cha wasomi kabla ya kuingiliwa na Mrema, watu wanapiga kelele.

Kwa nini asiachwe huru ili akakisaidie NCCR kurudi kwenye hali yake ya awali ya chama pekee cha upinzani kilichokuwa sio cha kidini wala kikabila?

Nakutakia mafanikio mema kijana wetu na ukiweza kuwavuta vijana wengine hasa wale wasomi uliowaacha CHADEMA, fanya hivyo maana muda wa mabadiliko ya Tanzania ni sasa ni sio mpaka mzeeke.
 
Hili KItila alishalisema kwenye ile thread nyingine ya Kafulila... ametumia uhuru wake ila cha maana kukumbuka ni "HASIRA HASARA"!!!
 
Hii siku itakumbukwa sama kama mwanzo wa kumomonyoka kwa CHADEMA.

Kijana Kafulila alitaka kuongoza vijana wenzake wa CHADEMA, wenye chama wakamkatalia. Sijui walitaka aongoze akiwa na mkongojo.

Kahamia kwenye chama kilichokuwa cha wasomi kabla ya kuingiliwa na Mrema, watu wanapiga kelele.

Kwa nini asiachwe huru ili akakisaidie NCCR kurudi kwenye hali yake ya awali ya chama pekee cha upinzani kilichokuwa sio cha kidini wala kikabila?

Nakutakia mafanikio mema kijana wetu na ukiweza kuwavuta vijana wengine hasa wale wasomi uliowaacha CHADEMA, fanya hivyo maana muda wa mabadiliko ya Tanzania ni sasa ni sio mpaka mzeeke.

Vijana Wasomi wamejaa CCM akawachukue hao walete mabadiliko ya kweli. Wa Chadema awaache maana umesema wamejaa ukabila. Wa CUF wana udini.
 
Yule aliyekuwa Ofisa Habari wa Chadema, amekaribishwa muda mfupi uliopita ndani ya chama kingine cha upinzani cha NCCR-Mageuzi.

David Kafulila alikikimbia Chadema mapema wiki hii inayomalizika leo na kuwatuhumu viongozi wa chama hicho, Freeman Achikaeli Mbowe na katibu wake mkuu, Dk. Wilbroad Slaa, amepokewa na Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi, James Mbatia jijini Dar es Salaam na kupewa kadi ya uanachama.

Kafulila amesema kuwa ameamua kujiunga na NCCR kwa kuwa huko anaamini ataendeleza jitihada zake za kuimarisha upinzani Tanzania, ingawapia nadhani anajipanga ili kutimiza ndoto yake ya kuwania ubunge Kigoma Kusini baada ya kunusa kuwa Chadema wasingempitisha.

Kafulila, hadi anapewa kadi hiyo, ni mwanachama wa kawaida tu, ingawa kuna tetesi kuwa ameandaliwa cheo fulani hapo makao makuu, hasa cha habari ili kuanza kazi ya 'kuipaisha' NCCR mbele ya umma wa Watanzania.

Tusubiri tuone mwisho wake

Kila la kheri Kafulila, kuwa makini maana kuna Mawili hapa moja Yawezekana hii ikawa mwanzo wa Mafanikio katika maisha yako ya Kisiasa au ikawa ndio mwisho wa Maisha yako ya Kisiasa
 
Mbona kwa Rwakatale kuhamia CHADEMA hamkuongea leo hii Kafulila kwenda NCCR tayari kmeongea,mpeni muda afanye kazi ni haki yake kikatiba, kumbukeni mawazo ya mtu ndio Serikali yake.

wewe ni mgeni JF, tuliongea sana kuhusu rwakatare na mbio zake kutoka cuf.......msiongee bile details.
 
Hii siku itakumbukwa sama kama mwanzo wa kumomonyoka kwa CHADEMA.

Kijana Kafulila alitaka kuongoza vijana wenzake wa CHADEMA, wenye chama wakamkatalia. Sijui walitaka aongoze akiwa na mkongojo.

Kahamia kwenye chama kilichokuwa cha wasomi kabla ya kuingiliwa na Mrema, watu wanapiga kelele.

Kwa nini asiachwe huru ili akakisaidie NCCR kurudi kwenye hali yake ya awali ya chama pekee cha upinzani kilichokuwa sio cha kidini wala kikabila?

Nakutakia mafanikio mema kijana wetu na ukiweza kuwavuta vijana wengine hasa wale wasomi uliowaacha CHADEMA, fanya hivyo maana muda wa mabadiliko ya Tanzania ni sasa ni sio mpaka mzeeke.

Mafisadi akina ringo tenga ndo unasema wasomi wa nccr? amakweli wewe hata siasa za bongo huzijui. Walioua NCCR ya mrema ni akina marando na wenzake....wewe hujui kwamba marando ni kada wa CCM na ni agent wa ikulu?

Nikirudi kwa Kafulila, amepoteza mwelekeo kama wengine tu hapa tanzania. Tusubiri na zitto naye atajitoa chadema.
 
Wakuu zangu mbona tunacheza mchezo wa Sungura?..Je, tunaipenda zabibu au? maanake nashindwa kuelewa huyu Kafulila ana balaa gani haswa kiasi kwamba watu wanakosa kuhema.
Kaondoka Chadema ni uamuzi wake mwacheni akaonje maisha mapya.
 
Fikira zingine bwana eti unakuwa na mwelekeo ukijiunga na chadema teh teh teh teh,
mambo mengine bwana
 
Mbona tunamsema sana kafulila peke yake, Vipi viongozi wa CHADEMA kama walkuwa hawampendi na kumbagua,hapa namaanisha pale alipotaka kugombea na kwa dhahir wakamkatalia asigombee na kumtaka mtu wao. Ingekua wewe je ungefanya na watu kazi ambao hawakujali na kukuthamini. Wangemwacha kura ndo zimtoe na si mtu binafsi.
Hata mcheza mpira akiona kocha hampendi lazma ajikate zake, hata ningekua mimi ningeondoka tu.
 
Wakuu zangu mbona tunacheza mchezo wa Sungura?..Je, tunaipenda zabibu au? maanake nashindwa kuelewa huyu Kafulila ana balaa gani haswa kiasi kwamba watu wanakosa kuhema.
Kaondoka Chadema ni uamuzi wake mwacheni akaonje maisha mapya.
Me nashangaa watu wanavyo mlaumu na kuto angalia mpasuko ambao upo dhahir CHADEMA, ulipo anzia kwa wangwe. Watu wangekua makini ku salve matatizo ya CHADEMA kama wanaipenda sana na si kuficha madhambi kwa kumsakama Kafulila. Watu wanakaa kiiiimyaaa kwa CHADEMA kuendesha kikao kwa siri na wanakazana kumkosoa kafulila. Kaaaazi kwelikweli Watznzania afu ndo tunataka uongozi imara. Mhhh.
 
David Kafulila kuhamia NCCR

Kuna nyepesinyepesi kuwa yule sisimizi wa CHADEMA kuhamia NCCR MAGEUZi kama alivyodai yeye kuwa anahitaji kuleta mabadiliko ya kisiasa nchini.

Just thinking and wondering alound: kwanini unamwita sisimizi?
 
Just thinking and wondering alound: kwanini unamwita sisimizi?

Kama kiongozi wa chama anamwita former mwanachama jina hilo [na maanisha DR SLAA], kwanini tunakazana kumshtumu Kafulila na hatuaangalii the other side of the coin kwa viongozi wa CHADEMA walivyo m treat jamaa. Kauli kama Hizo JF inakaa kimyaaa na kumlaumu tu jamaa. CHADEMA kama mnakipenda chama henu simeni huo moto unaowaka kuliko kuuuficha, ukikamata mapazia na sillingboard hamta uzima hata.
 
Ningemshauri atulie atumie muda kujenga base yake kama kweli yupo upinzani kama mwanasiasa. Ila kama ndo wale vivuli vinavyotumiwa kuharibu mambo basi bahati mbaya. Aende tu huko upinzani
 
Back
Top Bottom