David Guetta ni JEMBE la Uzalishaji wa Muziki wa Kisasa

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,589
2,140
Unaweza kucheki CV yake David Guetta - Wikipedia, the free encyclopediaa
Jamaa kwa sasa ni kama anaongoza kwa kuproduce track kali zinazowarusha watu na kushika namba za juu katika chati duniani kote.
fond_contact_1.jpg

Check video hii aliyomshirikisha nicki minaj.

 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom