David cameroon na ushoga TAFSIRI yangu

Kipre tchetche

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
238
40
Ni kweli kwa upande mwingine ni matusi makubwa kwa bara letu la africa na hasa kwetu watanzania.
Lakini kwa upande wa pili hawa wafadhili huenda
Wamewachoka watawala wetu wameona ili wajue au waanze kujitegemea watoe masharti ya kuwadhalilisha nchi zao ili waone umuhimu wa kutunza raslimali walizonazo .mfano tanzania.ina Madini ya aina muumuu muhimu,mbuga za Wanyama makaa ya mawe,gase na mabonde mito ya ajabu milima ya ajabu kwa viongozi nakini
Hakukuwa na ulazima wowote Kama raslimali hizi zingetunzwa na mapato yale yote yakaingizwa kwenye bajeti ya serikali na kuzuia ufisadi sisi tusingekuwa ombaomba na tungeepuka masharti Kama haya.

Lakini wanazazimika kutoa masharti haya Kama funzo wao
Wamejibana wamekusanya kodi za wananchi wao wametekeleza mambo muhimu ya wananchi wao
Nabado na wanawapa misaada inayotokana na kodi za wananchi wao ninyi zenu mnazifanyia ufisadi Na wakiwapa misaada Yao mnafanya nazo matanuzi

Mbona baada ya maneno ya cameroon Uganda imetangaza kuchimba mafuta na wamesema hawatahitaji tena misaada nawatakomesha ufisadi

Tanzania inalialia nini mafisadi wanahela kuliko hata wafadhili wao walizipata wapi? Wanyama wanatoroshwa ,madini yanaibiwa,maliasili zote zinahamishwa na kumilikishwa mafisadi Leo mnawalaumu wafadhili kuwa wanawapa masharti ya kuwadhalilisha .kumbe wafanyeje ninyi ni matajiri pesa zenu mnanunulia mabom ya machozi
Na kugawana posho na kuzururia kote dunia .wakati wanafunzi wa vyuo vikuu wanakosa mikopo

Watanzania wanakaa gizani wakati vigogo wanamiliki trillion tatu MRI mmoja.kwahio sio matusi ni mafunzo kwani unalazimishwa na nani kuomba msaada wakati unafuja na kwanini wakupe masharti mepesi wakati wameona uthaifu wako upo ktk matumizi.mi naona cameroon amesema ili tuliolala tuamke tulinde uchumi wetu. Mwenyezi Mungu alipoiumba Tanzania aliumba pia wafadhili wa Tanzania
Ambao ni madini yote bahari mbuga za Wanyama ,misitu,gase,na kilautajiri tulionao tutunze tusikimbilie kusema katutukana nini kilikupeleka kwake? Asante Cameroon labda tutaamka .
 
[h=6]Can you imagine!
Many nations of the world are now required to legalize same sex marriages if they will continue to receive donations. Hoo God of heaven and earth, deliver your people from this kind of bondage. Silver and gold belongs to you, the earth and the fulness thereof belongs to you. The one who has and the one who doesn't have belongs to you and you know them all. May the nations that have wealth which you have given to them not use it to oppress poor nations forcing them to do that which is contrary to your will. You reign sovereign over all the nations of the earth, and over all creations. The spirit of antichrist is working but LIGHT SHINES in darkness and darkness cannot overcome. Glory to your name forever and ever. AMEN.
[/h]
 
Hao hao wenye mbongo/makuta/pesa ndio wanao washikisha ukuta watoto wa walala hoi, umesikia wapi mtoto wa malkia anataka kuolewa au kuoa njemba mwenzie.
DC ni shetani mweupe kamwe hoja yake usitushawishi kabisa kuiunga mkono na kwa kigezo chochote si ufisadi wala umaskini hizo ni changamoto zingine tunazotakiwa kuzimaliza.
 
Well, Waswahili wanasema mwanamme unapokuwa Ombaomba sana mwisho wake utaombwa na wewe fadhila japokuwa ndogo tu...Ndio haya!.. Tunaukataa Ushoga wakati hatuna cha kuwalipa hivyo Cameroon na nchi za magharibi wameona hatuna uwezo kweli isipokuwa hata hili basi?.....Usipotaka kuliwa japo kidogo - huli?..maneno ya JK --- Eeehe! - mkome kuombaomba.
 
Back
Top Bottom