David Cameron: The New UK Prime Minister

slide_6773_89913_large.jpg

slide_6773_89921_large.jpg

slide_6773_89914_large.jpg

afu sasa muangalieni Gordon Brown naye...

slide_6773_89916_large.jpg

slide_6773_89915_large.jpg
 
Ingawa Conservatives wako tough kwa imigrants lakini wako fresh kwenye mambo ya uchumi nawakubali.

...ha ahahaha hahaha tangu lini conservatives wakafanya vizuri kwenye Economy? iron lady aliwatia British umaskini mbaya mbovu ndio maana walimpiga chini na kuwaondoa madarakani zaidi ya miaka 13 na kuwapa kina Tony,Reagan wanampa sifa tuu lakini number dont lie(kama una akili lakini),Liberal wana record nzuri sana kweye economy na ni watu wa amani sana,ndio maana watu wenye akili wanaoelewa will never vote conservatives
 
Thibitisha hilo kwa takwimu na ithibati nyingine.

Unataka nikutafunie kila kitu? Ni nani asiyejua kwamba Kichaka alikuwa bomu. Pamoja na kuwa na Senate na Congress chini yao (conservatives) lakini waliharibu kila kitu na kuiacha nchi ikiwa hoi bin taabani. Data ziko kibao hebu zitafute utaona ninachosema ni kweli tupu badala ya kutaka nikutafunie kila kitu.
 
Wewe umesema hali wakati wa Kichaka ilikuwa mbaya haijawahi kutokea. Sasa mimi nimekuomba utoe ithibati ya hiyo kauli yako. Sijakuomba unitafunie. Nimeomba unioneshe kwa malinganisho. Is that too much to ask for? Kama huna ithibati sema tu na wala usiogope.
 
Hata historians wa America wanadai kuna uwezekano kwamba jamaa akachukua title ya the worst president katika historia ya Marekani, akipona atachukua namba mbili. Data za kuthibitisha kauli yangu ziko chungu nzima hata mtoto wa darasa la saba anazijua na mimi siko tayari kabisa kukutafunia kama hujui wapi pa kuzipata basi hilo ni tatizo lako.
 
...tena bomu la nguvu kweli,kuanzia stupid war,record deficit,unemployment,poverty,civil rights violations and mother of all great depression,punguza kusikiliza hannity & fat Rushbo unaweza kuwa na akili kidogo!
 
Take high 5 my brother Koba :behindsofa: You just made my day
 
Hata historians wa America wanadai kuna uwezekano kwamba jamaa akachukua title ya the worst president katika historia ya Marekani, akipona atachukua namba mbili. Data za kuthibitisha kauli yangu ziko chungu nzima hata mtoto wa darasa la saba anazijua na mimi siko tayari kabisa kukutafunia kama hujui wapi pa kuzipata basi hilo ni tatizo lako.

Ok, ngoja basi nikusaidie. Inflation rate wakati wa Great Depression na wakati wa utawala wa Carter ukilinganisha na wakati wa Bush, ilikuwa kiasi gani? Naomba tuanze na hili kwanza.....weka data zako na chanzo/ vyanzo vyako.
 
...tena bomu la nguvu kweli,kuanzia stupid war,record deficit,unemployment,poverty,civil rights violations and mother of all great depression,punguza kusikiliza hannity & fat Rushbo unaweza kuwa na akili kidogo!

Unemployment rate wakati wa Carter ilikuwa kiasi gani?
 
Huyu Brown very stupid, aliambiwa hawezi kushinda uchaguzi tangu alipokuwa analilia kuwa Prime minister akajaza majungu kila uchwao kwa Tony Blair hadi akaacha. Akaambiwa asigombee Labour watashindwa akaleta ubishi sasa maji yamemwagika ndio anakubali. King'ang'anizi chake ndicho kimewaletea kiama Labour. Sasa ndio watajuta kilichomtoa kanga manyoya.
 
Unemployment rate wakati wa Carter ilikuwa kiasi gani?

Pata hint hapo,whos on top of the worst Presidents ever? na kuna nyingine polls nyingi tuu with the same results,lakini the worst of all in History na sio siri polls zote zina suggest hivyo na unamjua sina haja ya kurudia

Quinnipiac University poll

A Quinnipiac University poll, taken May 23–30, 2006, asked 1,534 registered American voters to pick the worst U.S. President of the last 61 years.[15]
"Which of these eleven presidents we have had since World War II would you consider the worst president - Harry Truman, Dwight Eisenhower, John Kennedy, Lyndon Johnson, Richard Nixon, Gerald Ford, Jimmy Carter, Ronald Reagan, George Bush Senior, Bill Clinton, and George W. Bush?"
  1. George W. Bush (34%)
  2. Richard Nixon (17%)
  3. Bill Clinton (16%)
  4. Jimmy Carter (13%)
  5. Don't Know/No Answer (5%)
  6. Lyndon Johnson (4%)
  7. George H. W. Bush (3%)
  8. Ronald Reagan (3%)
  9. Gerald Ford (2%)
  10. Harry Truman (1%)
  11. John Kennedy (1%)
  12. Dwight Eisenhower (<1%)
 
Back
Top Bottom