David Cameron: The New UK Prime Minister

Hotuba ya Brown na Cameron zote ni nzuri na wote wameenda moja kwa moja kwenye point bila blah blah,halafu hii Conservative ya sasa sio ile ya kina Thatcher ya kung'ang'ania mambo yaleyale hawa ni vijana wanaotaka mabadiliko.
 
oh mambo ya kukinga......jamaa atawakomesha,ila hana majority hivyo itakuwa kazi kulazimisha policy zake ambazo labour na lib dem hawaziafiki.
Wamesha back up once already to the lib-dems to secure the joint government, nimeona BBC wanaongelea kukubali the first 10,000 earned should not be taxed ni policy ya libs.

Hila si unasikia anavyosema inabidi warudishe mfuko waliokopa, nadhani printing money is not on his mind sasa sijui hiyo mikato itatokea wapi kwenye next budget kurudisha hiyo hela. No wonder amesema sasa watu waanze kuchukua personal responsibilties na kuna tough times ahead, come to think of this Mrs had the same policy (and we know how she thought of benefits) na again and again huwa anarudia she was the politician that inspired him. Kazi imeanza only time will tell.
 
DUUU great thinker huyu! very low hiii
Masanilo

The problem hujui dili lilivyo kwenda wewe unaona ni kitu cha kawaida tu Uingereza kuwa bila serikali kwa siku sita, hata kama ni hung parliament ilitakiwa Brown kwa ustaarabu aachie u PM siku ile ile angeonekana wa maana, kwa vile hata kama angeunganisha viti vya Labour 258 na Liberal 57 visingefika 326 majority inayotakiwa lakini akafikiri Liberal watakuwa upande wake, na Liberal nao wakatumia hiyo nafasi kufanikisha mambo yao wakawa wanaucheza mpira huku na huku Labour na Conservatives ndiyo maana imechukua siku tano.

Kila chama kikawa kinatoa offer, offer ya mwisho ya Labour ambayo walifikiri Liberal watakubali ni Brown kutangaza mapema kuwa hata kama kutakuwa na coalition btn Lab-Lib ifikapo September ataachia u PM, hiyo ndiyo hata wachambuzi wa kimataifa wanasema ilikuwa hongo kwa Liberal. Sasa kama unataka tuingie ndani tuje na details za jinsi bunge lao na serikali yao inavyoundwa am ready. Inavyoonekana umezoea sana ushabiki wa siasa za bongo ambazo hazina kichwa wala miguu, turudi kwenye siasa zetu za Kyela naona International politics huziwezi, vipi mgombea wetu Mwakalinga hasikiki siku hizi au maji yamemfika shingoni.
 
Sikonge

The problem hujui dili lilivyo kwenda wewe unaona ni kitu cha kawaida tu Uingereza kuwa bila serikali kwa siku sita, hata kama ni hung parliament ilitakiwa Brown kwa ustaarabu aachie u PM siku ile ile angeonekana wa maana, kwa vile hata kama angeunganisha viti vya Labour 258 na Liberal 57 visingefika 326 majority inayotakiwa lakini akafikiri Liberal watakuwa upande wake, na Liberal nao wakatumia hiyo nafasi kufanikisha mambo yao wakawa wanaucheza mpira huku na huku Labour na Conservatives ndiyo maana imechukua siku tano.

Kila chama kikawa kinatoa offer, offer ya mwisho ya Labour ambayo walifikiri Liberal watakubali ni Brown kutangaza mapema kuwa hata kama kutakuwa na coalition btn Lab-Lib ifikapo September ataachia u PM, hiyo ndiyo hata wachambuzi wa kimataifa wanasema ilikuwa hongo kwa Liberal. Sasa kama unataka tuingie ndani tuje na details za jinsi bunge lao na serikali yao inavyoundwa am ready. Inavyoonekana umezoea sana ushabiki wa siasa za bongo ambazo hazina kichwa wala miguu, turudi kwenye siasa zetu naona International politics huziwezi.

Ingependeza kama utaweka evidence zaidi ya bla bla na kujiweka tawi la juu ! Kitu kingine ushauri wa bure jitahidi kuwa unachagua maneno ya kuandika,vinginevyo unapoteza hata maana na uanachoandika.... ushabiki upi wa siasa za bongo niliounyesha?

Uongozi mtamu Brown hajaamini amepigana hadi dakika ya mwisho jana akahonga u PM kwa akitegemea Liberal watakubali ilibidi Conservatives waongeze dau, uongozi huo jamani..........
This extremely low can you substantiate ur arguments hizo rushwa uanazozisema ni za kiasi gani zilizokuwa offered kwa Lib....aaaaaaaaaagggggggggrrrrr.....
 
Cameron ametoa hotuba nzuri sana wasi wasi wangu asije kuwa kama Mkwere!
Hawatampa huo mda wa kufanya hivyo wa kufanya hivyo...akizembea MPs wake ndiyo watakuwa wa kwanza kumpush out kama Tony Blair...Kikwete na wengine sisi ndiyo tunawafanya kuwa hivyo.
 
Gordon Brown cost Labor the election. It was clear even before the general elections that Labor wouldn't win under his leadership. The best chance for his party was for him to resign and let a fresh face lead the party. I think now David Miliband has a good chance of becoming the next Labor leader because he, like Cameron is relatively a young guy and is sort of bares resemblance to Tony Blair in his political prime during the mid 90's.
 
Tory wa ukweli ni wakina Boris (Mayor) na mimbwembwe yake bana. Lakini still kama Nick akiendelea kushikilia sera zake, basi itakuwa ni ngumu sana Cameron kutmiza sera za matori aka walozaliwa kwenye fweza
 
Ingependeza kama utaweka evidence zaidi ya bla bla na kujiweka tawi la juu ! Kitu kingine ushauri wa bure jitahidi kuwa unachagua maneno ya kuandika,vinginevyo unapoteza hata maana na uanachoandika.... ushabiki upi wa siasa za bongo niliounyesha?

This extremely low can you substantiate ur arguments hizo rushwa uanazozisema ni za kiasi gani zilizokuwa offered kwa Lib....aaaaaaaaaagggggggggrrrrr.....
Masanilo
Kwanza msalimie Mwakalinga tulimwambia lile gari kubwa hakusikia, tatizo lako hutaelewa in short unajua Comeron ni PM mpya lakini alivyopatikana hujui.
 
Umeishaanza viroja mkuu! Leta hoja rushwa ipi Lib Dem wamepokea? Mtaalamu wa siasa za kimataifa?
 
Gordon Brown cost Labor the election. It was clear even before the general elections that Labor wouldn't win under his leadership. The best chance for his party was for him to resign and let a fresh face lead the party. I think now David Miliband has a good chance of becoming the next Labor leader because he, like Cameron is relatively a young guy and is sort of bares resemblance to Tony Blair in his political prime during the mid 90's.
What you are saying is true, last year there was a movement within Labour party forcing Mr. Brown to step down as a leader. Mr. Miliband was proposed to be his successor, there was misunderstandings btn Brown and Miliband that makes nearly Miliband steps down as a Foreign minister, what i think is Mr. Brown wanted is to continue being a Labour leader for another 5 years but he was just forced out by the current situation.
 
Mkuu Gordon Brown's eagerness to become prime minister cost him. In 2007 when Tony Blair resigned he could have called for fresh elections. Since Labor was likely to win then it would have meant that Gordon Brown would have been the PM for five years until 2012. Since he decided not to call for elections and with the downturn of the economy almost everything that could have gone wrong went wrong. If elections were called it would have given him at least two more years to try and sort things out. But right now he will leave with a bad legacy and most of all the shame of being a prime minister who never won the general elections.

Another thing about Gordon Brown is that he has always wanted to be PM. In 1994 if I'm not mistaken there was a power struggle between him and Tony Blair, then the young bulls of the Labor party. Blair was chosen because he was more charismatic and more media savvy. If you looked at Brown during the debate you could see how much he struggles with the media. I don't think he was a leader suited for the 24/7 media age.
 
I agree with you...G brown will rue the day he refused to call a snap election.
 
Mkuu
umegeuka lini na kuwa sikonge teh teh teh. Hii kali kweli

HAhahahahaah hii JF mkuu kuna vibweka sana hasa mtu anapozidiwa na hoja! Nilimuuliza rushwa waliopewa Lib Dem nikaishiwa kuambiwa nina siasa za bongo na mimi ni Sikonge! hahahahahahaahahhhh
 
Teh teh teh teh teh teh teh teh si mchezo
 
Umeishaanza viroja mkuu! Leta hoja rushwa ipi Lib Dem wamepokea? Mtaalamu wa siasa za kimataifa?
Kwanza naomba samahani kwa kukuita Sikonge badala ya Masanilo

Angalia karata za kisiasa zilivyochezwa, kifupi baada ya matokeo kujulikana kuwa hakuna chama kitachokuwa na majority, Labour waka ki approach chama cha Liberal, Nick Clegg akasema 'I said whichever party gets more seats has the right to form a govnt', ijumaa hiyo hiyo Liberal wakaanza mazungumzo na Conservatives, hadi jumapili walikuwa hawajakubaliana hasa kwenye New Election system (propotional representation) lakini walikubaliana kuhusu immigrations, Taxes na mambo mengine. J2 hiyo Labour wakasema kama Con-Lib hawatakubaliana sisi tuko tayari, wajuzi wa mambo wakaona Labour wanaingilia kati, Liberal walipoona wanagombaniwa wakawa na kiburi.

J3 asubuhi wakawaacha Conservatives wakaanza mazungumzo na Labour, Labour nao hawakukubaliana kwenye kubadili system ya uchaguzi, jioni wabunge wa Labour wakamshauri Brown atangaze ku resign as a Labour leader akatangaza kwa shinikizo la kuihadaa Liberal(ndiyo hongo ninayoiita), nao Conservative kuona wanataka kuzidiwa kete jioni hiyo hiyo wakatangaza kukubali kubadili Election system wanayoitaka Liberal asubuhi yake yaani J4 tayari Liberal wakawa wamekubali hiyo offer hizo ndizo hongo za kisiasa zinazosemwa na wadadisi wa mambo, need i say more?.
 
HAhahahahaah hii JF mkuu kuna vibweka sana hasa mtu anapozidiwa na hoja! Nilimuuliza rushwa waliopewa Lib Dem nikaishiwa kuambiwa nina siasa za bongo na mimi ni Sikonge! hahahahahahaahahhhh
Taratibu mkuu, accept my apology nilichanganya Sikonge na Masanilo unajua haya majina bandia mengi huwa yananichanganya sana.
 
Huu uchaguzi ingekuwa Africa mpaka sasa kungekuwa na watu kadhaa wameshakufa,maelfu kujeruhiwa, kesi mahakamani, Exiles, ndoa kuvunjika you name it.

Anywayz Nick Clegg na chama chake pamoja na kujikuta kwenye good negotiating position nadhani ni good negotiators. Kumbukeni Tsvangirai na Mugabe.

Lib dems the distant third wamepata nafasioi ya u-deputy PM for Nick. Well nadhani huyu Nick hapo bidae tuje tumwombe awe mshauri wetu kwenye kunegotiate mikataba..... LoL.....
 
Kwanza naomba samahani kwa kukuita Sikonge badala ya Masanilo

Angalia karata za kisiasa zilivyochezwa, kifupi baada ya matokeo kujulikana kuwa hakuna chama kitachokuwa na majority, Labour waka ki approach chama cha Liberal, Nick Clegg akasema 'I said whichever party gets more seats has the right to form a govnt', ijumaa hiyo hiyo Liberal wakaanza mazungumzo na Conservatives, hadi jumapili walikuwa hawajakubaliana hasa kwenye New Election system (propotional representation) lakini walikubaliana kuhusu immigrations, Taxes na mambo mengine. J2 hiyo Labour wakasema kama Con-Lib hawatakubaliana sisi tuko tayari, wajuzi wa mambo wakaona Labour wanaingilia kati, Liberal walipoona wanagombaniwa wakawa na kiburi.

J3 asubuhi wakawaacha Conservatives wakaanza mazungumzo na Labour, Labour nao hawakukubaliana kwenye kubadili system ya uchaguzi, jioni wabunge wa Labour wakamshauri Brown atangaze ku resign as a Labour leader akatangaza kwa shinikizo la kuihadaa Liberal(ndiyo hongo ninayoiita), nao Conservative kuona wanataka kuzidiwa kete jioni hiyo hiyo wakatangaza kukubali kubadili Election system wanayoitaka Liberal asubuhi yake yaani J4 tayari Liberal wakawa wamekubali hiyo offer hizo ndizo hongo za kisiasa zinazosemwa na wadadisi wa mambo, need i say more?.

I am afraid mkuu your talking the obvious! Under a parliamentary system of government, a hung parliament means there is no party that has won the majority of seats. Hii ina eleweka, ubaya wa mfumo huu chama kidogo kina kuwa na uwezo wa kuwa madarakani kwa kuside na any of the big party. Frequent hung parliaments can result in smaller parties staying in power for decades as they switch support between the two or three major parties

Hii ndiyo ilikuwa turufu ya Lib wamenegotiate na wote Lab na Tories, nimefatilia hii habari siku nzima Lab hawakuwa serious kwenye mazungumzo ndo maana wakarudi kwa Tories waliokuwa tayari kuunda nao serikali.

Unaposemea rushwa siwezi kukubaliana na wewe unayejiona unajua siasa za kimataifa. Nadhani umeshindwa thibitisha madai hayo!

Ushauri mwingine jaribu kuwa unaheshimu wenzako hata kama mnatofautiana kimawazo kuniita mimi Sikonge inathibitisha wewe ni mtu wa dharau na much know! So sad mkuu
 
Perception yangu na yako kuhusu neno offer na deal kwenye nyanja za siasa inatofautiana, ninavyojua deal/offer wakati mwingine hutumika kama hongo, kwa hiyo tufunge huu mjadala tuendelee kuchangia mengine.

Kuhusu jina I have said it was just a mistake calling you Sikonge instead of Masanilo which is not a big deal and i did apologize twice i think, but if you cant accept my apology I'm very flexible I can swing the way you want me to dance.
 
Back
Top Bottom