Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,434
- 113,444
Kufuatia kuwa na gesi na mafuta, Waingereza wako tayari mpaka kutupigia magoti kutulamba miguu!.
Maskini hamjui hata mnachokiandika, ili mradi roho zinawauma kwa jina tu la Kikwete, kila afanyalo, kwenu ni muhali. Poleni sana, nawasikitikia bado mna miaka 3 ya kulalama baada ya hapo mna zee la ma-mvi. MMasai yule, utani kwake unaishia mwisho wa fimbo yake, shauri lenu, mtakuja kuiona JF chungu.

Wazri mkuu wa uingereza amkacha JK na kumuacha William Hague waziri wa mambo ya nje ndo akutane na JK...Inaonyesha Waingereza nao wamechoka na safari zake....Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kazi kweli kweli. Heri ingekuwa Mwai kibai mwenye majeshi yake Somalia, wana Ethiopia eritrea na Uganda..sasa Jk jamani nin ilimlazimu kwenda? Membe asingeweza hizi kazi? Kwa maana kazi zote za membe Jk kaingilia !...........Pengine Cameron amemkwepa kuepuka moto na wabunge wake akiogopa kukutana na mkuu wa nchi iliyoiletea nchi yake scandal ya Rada za B.A.E
mimi simkubali kikwete kabisa na kama walivyo watanzania wengi ninachukizwa na tabia yake ya uzururaji, lakini sikubaliani na mleta mada kuwa david cameron amemkacha. Kulingana na taratibu za kiitifaki siyo lazima rais wa nchi fulani akienda mfano uingereza akutane na waziri mkuu.
Kama ni "state visit", basi rais anayekwenda anakuwa mgeni wa malkia kwa sababu malkia ni "head of state". Kama ni "official visit", basi anakuwa mgeni wa waziri mkuu david cameron, lakini kama ni "working visit" kama ambavyo ziara hii ilitangazwa, basi anakutana na waziri anayehusiana na shughuli iliyompeleka.
Mpangilio huu unasababisha thread hii ikoshe mashiko kidogo.
Ni hayo tu.
Wazri mkuu wa uingereza amkacha JK na kumuacha William Hague waziri wa mambo ya nje ndo akutane na JK...Inaonyesha Waingereza nao wamechoka na safari zake....Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kazi kweli kweli. Heri ingekuwa Mwai kibai mwenye majeshi yake Somalia, wana Ethiopia eritrea na Uganda..sasa Jk jamani nin ilimlazimu kwenda? Membe asingeweza hizi kazi? Kwa maana kazi zote za membe Jk kaingilia !...........Pengine Cameron amemkwepa kuepuka moto na wabunge wake akiogopa kukutana na mkuu wa nchi iliyoiletea nchi yake scandal ya Rada za B.A.E
Maskini hamjui hata mnachokiandika, ili mradi roho zinawauma kwa jina tu la Kikwete, kila afanyalo, kwenu ni muhali. Poleni sana, nawasikitikia bado mna miaka 3 ya kulalama baada ya hapo mna zee la ma-mvi. MMasai yule, utani kwake unaishia mwisho wa fimbo yake, shauri lenu, mtakuja kuiona JF chungu.
Mmm kweli mkuu hali mpaya sasa ni muda wa kupumzika, next time atapewa Mkuu wa Wilaya, tatizo lake muda wote akienda kwy izo meeting anapitisha bakuli. wamemchoka sasa, Mkuu pumzika punguza mitoko:A S embarassed: