David Cameron adai Uingereza ni Taifa la Kikristo

Wewe nae uko obsessed na ushoga! Vipi? Cameron hajasema tuwe mashoga. Amesema tuache kunyanyapaa mashoga.

Boldblack
Shetani hatakiwi kupewa nafasi hata ya ukubwa chini ya 0.000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000...mµmm[SUP]3[/SUP], kwa maneno yako hayo unataka kumpa shetan nafasi.
 
Mbona anajishukia, kwanini ajitangaze? au ameona nafsi inamsuta,na ameanza kudharaulika ?
 
Cameron ni mkristo jina...maana maneno na vitendo vyake ni tofauti..haishangazi uingereza kuwa taifa la kikristo maana KRISTO NI MFALME WA WAFALME
 
Ulitaka aseme ni taifa la kiislam? Maana umeleta habari nakuanzisha malumbano.
 
Cameron ni mkristo jina...maana maneno na vitendo vyake ni tofauti..haishangazi uingereza kuwa taifa la kikristo maana KRISTO NI MFALME WA WAFALME
.........sasa mbona tunaambiwa kuwa Malkia ndie mkuu wa Kanisa ? Yaani ufalme wake unafika mpaka Kanisani ! Hii imekaaje ?
 
Ulitaka aseme ni taifa la kiislam? Maana umeleta habari nakuanzisha malumbano.
Taarifa yake ndio malumbano maana iweje awakumbushe wao kujivunia values na huo ukristo? Wao wanajijua au hawajijui? Zipi ni values zao?!
 
Over 99% ya waingereza hasili ni wakirsto, head of state ndio head of the church of england and the archbishop of Canterbury ndio mmoja wa mshauri mkuu kwenye mambo ya morals ndani ya taifa surely hili ni taifa la ki-kristo.

Then there is politics ambapo wanajitambulisha kama a libera-society kwa maana hiyo kuna freedom of beliefs, values, lifestyle (na yale mambo yenu mnayoyapenda ya uanichi anichi maana kutwa ni haditihi hizo humu ndani sasa). Labda sasa wewe utafoutishe ualisia wa jamii na values ambazo zipo promoted na siasa zao those are two contrasting views.

Jamani siasa sio rahisi naanza kuona kuna uadimu mkubwa wa haya mambo kitaifa nilisikiliza jinsi bwana cheo alivyokuwa na mpango wa kuisaidia Bariadi kisiasa nikabaki na maswali mengi kuliko majibu kwa kweli.
 
Waziri mkuu wa Uingereza amekaririwa na BBC kuwa Waingereza wasione shida kujitambulisha kuwa wao ni Taifa la Kikristo na wajivunie yale yote (values) yatokanayo na Ukristo !

Hakuna jipya, yafahamika wazi kuwa western countries ni Mataifa ya Kikristo, kama mataifa ya kiarabu kujitambua kama ni mataifa ya kiislam. Hawa ni viongozi wasema kweli sio kama wale wanafiki, wanaojifanya eti nchi zao ni za dini zote. Angalau sasa hivi tunaanza kupata ukweli, ambao unatokana na matatizo ya uchumi ulaya.

Na ni kwa sababu hii, ndio maana mara zote nawaonya wanasiasa wa Tanzania kutofuata mfano wa nchi za magharibi, kwani tamaduni na mazingira ya nchi zetu yapo tofauti sana na wamagharibi. Ninahakika CHADEMA wana mengi ya kujifunza kutokana na habari hii.

Watanzania kuweni macho na vyama vyovyote vile vinavyoendekeza udini hapa Tanzania.
 
mimi naishi hapa london na asilimia kubwa ya hawa watu hawautaki ukristo, na makanisa mengi ni ya wageni, na kwenye talk show nyingi za kwenye redio imewakera sana cameoon kusema hivyo.
 
ni vizuri kama wataufuata huo ukristo maana hii nchi inahitaji imani, kwani watu wao wamepotea sana, watoto an wakubwa.
 
The British are a funny bunch for a modern state populace ( are they?). Their head of state, a queen for that matter, is the head of the Church of England. So Cameron is right in stating a de jure matter. De facto, Britain is turning more towards apathy, agnosticism and atheism.

Jamii zenye ushoga mara nyingi hujifanya kupinga sana ushoga. Kama yule mchungaji wa wahafidhina wa Kimarekani aliyekuwa anashambulia ushoga kwa sana baadaye watu wakajakumnasa na yeye ni shoga. Kama Newt Gingrich alivyokuwa anamshambulia sana Bill Clinton kwa kuwa na infidelity na Monica Lewinsky wakati Newt Gingrich mwenyewe wakati huo huo ana cheat on his wife.

Kisaikolojia hii inajulikana kama "Projection". Kabla ya kuwanyooshea vidole Waingereza kwa kuheshimu haki za mashoga tuangalie jamii yetu wenyewe.

Waafrika wengi wanapinga sana ushoga kama ushoga kwetu haupo, wakati Ilala Bungoni na sehemu zote za miduara mashoga kibao.

David Cameron anatetea haki za mashoga kuheshimiwa kama raia wengine, ni sehemu ya kuheshimu binadamu wote.

Ubaguzi wa mashoga hauna tofauti na ubaguzi wa watu weusi. Ni ubaguzi.

And I am not gonna say I even have gay friends, cause I don't.
 
Waziri mkuu wa Uingereza amekaririwa na BBC kuwa Waingereza wasione shida kujitambulisha kuwa wao ni Taifa la Kikristo na wajivunie yale yote (values) yatokanayo na Ukristo !

Kwa hiyo unataka tukueleweje? Mtu kuitwa jina la Kikristo siyo sababu ya kuwa Mkristo, Ukristo ni matendo ya mtu kuacha maovu, tofauti na wanaodai ni waislam lakini wanaua na kujilipua bila kusahau kubaka na kulawiti. Pole Ally Kombo
 
Waziri mkuu wa Uingereza amekaririwa na BBC kuwa Waingereza wasione shida kujitambulisha kuwa wao ni Taifa la Kikristo na wajivunie yale yote (values) yatokanayo na Ukristo !
kwani wewe ulikuwa hufahamu hilo? kuna cha ajabu hapo? united kingdom ni taifa la kikristo tangu kuumbwa kwake
 
Taarifa yake ndio malumbano maana iweje awakumbushe wao kujivunia values na huo ukristo? Wao wanajijua au hawajijui? Zipi ni values zao?!
unapokumbushwa kuacha kutenda maovu huko kwenye nyumba yako ya kuabudia inamaana wewe hujui kutenda maovu ni dhambi?.

acheni kupoteza muda na mataifa ya watu. taifa lenu linawaozea mikononi. kwani watanzania munapata muda wa kujadili taifa la uingereza wakati yenu yanawaozea mikononi?
 
Kwa hiyo unataka tukueleweje? Mtu kuitwa jina la Kikristo siyo sababu ya kuwa Mkristo, Ukristo ni matendo ya mtu kuacha maovu, tofauti na wanaodai ni waislam lakini wanaua na kujilipua bila kusahau kubaka na kulawiti. Pole Ally Kombo
Camerun kasema ni haki kulawiti au kulawitiwa na hizi ni value za ukristo ! Wengine wanaiga kutoka kwa wakristo !
 
Ndiyo maana wanageuzana nyuma,na lesbian maana ndiyo mafunzo wayapatayo kwenye dini yake na waingereza wenzake
 
kwani wewe ulikuwa hufahamu hilo? kuna cha ajabu hapo? united kingdom ni taifa la kikristo tangu kuumbwa kwake
'Tangu kuumbwa kwake !' umeropoka au una maanisha hivyo? Ulikuwepo ili kuthibisha hilo? Mataifa mengine yameumbwaje? Aiseeeeh !
 
yuko sahihi.ushoga nao ni value ya kikRisto ndo mana anajitahd kuhakikisha ushoga kama value unaenea duniani kote na iwe ni haki.
nani kakudanganya ushoga ni value za kikristo?ushawahi kusoma bible?kuna sehemu inayosupport ushoga?
nikisema ushoga ni value za kislamu nitakuwa nimekosea?maana mafundisho ya kiislamu yanaruhusu sodomization-
kuna maswala hutakiwi kujibu kama huna evidence
 
uko ushahidi mashoga wanafunga ndoa katika altare, wapo maaskofu mashoga, kanisa la anglikan linapigia debe. Camerun anajivunia ukristo anapigia debe. Je tupe mfano wa shehe au kiongozi yeyote kuunga mkono ! Katika Uislaam mbali na kukatazwa, hata adhabu imetajwa tena kwa wote, lesbian na hao wengine!
 
Back
Top Bottom