Daudi Kanyau ajenga msikiti na nyumba ya watoto yatima Kibaha

kanisa alilojenga liko wapi? acheni kujipiga promo pengine hela zenyewe hizo ni za magaidi either wa somalia au al quaeda...huwa mnaaminika nyie? subiri, muda si mrefu mtamsikia kama papa msofe.

Je Mengi kashawahi kujenga msikiti au ndo tuseme hela zake ni za makafiri wenzenu wamarekani
 
Angejenga BAR angesifiwa au angekua JONI pia angesifiwa.......... Allah ni mjuzi zaidi na mwenyekujua yalio ghaibu.. sisi zetu dua kwake tu.... Allah amzidishie zaidi.....
 
Dah.........jamaa ana mengi sna na maisha yake........ikiwemo kuibiwa mke na mtoto wa Mwinyi.........pia ni mdau sana katika kuuza ule unga wetu usioweza pikika ugali wala maandazi...anyway ni maisha yake na mola wake

Hayaa. Wape wajue siri ya mafanikio yake. Maana usilolijua ni kama usiku wa Giza 😂😂😂😂
 
Ooyooo yaani ziwe za haramu au za halali ni yeye tuu mungu ndo wakuhukumu na siyo sisi binadamu wa kupigwa laana na ndo maana kila jambo huwa na kasoro zake na huyu jamaa asikati taamaa kwa sababu sisi mibantu tunazidi kuzalisha mitoto ya haramu ndo bora utusaidie kutulelea hii mitoto ya mitaani na mwenyzi mungu atakulipa fil dunia wal ahkera kwa moyo wako sabhit kwa kututunzia hii mitoto yetu ya ziinaa allahu ibarik na jazakallah allam siik
 
Allah! Ampe stara yeye na famalia yake katika umri wao wote!
 
Back
Top Bottom