Kuna ulazima wa kuvaa DERA? (DELA)
Kuna ulazima wa kuuliza hili swali!?
Kuna ulazima wa kuvaa DERA? (DELA)
naomba nihukumiwe kwa haya ninayosema. huyu jamaa namjua kiundan kuliko unavyofikir, ni muuza unga mzur sana yaan ni wale wanaowatengeneza vijana na kuwatwisha unga. na anauzia hong kong, na china bara pamoja na Thailand, na mara nyingi huwa anafuatana na wanawake kama wawili watatu kwenye safar zake. daa maisha aisee kwel tumwachie Mungu. mtu anajenga mpaka msikiti? lakn pia huwa alikuwaga na duka la nguo pale mliman city pindi flan. cjui sasa.MFANYABIASHARA KIJANA DAUDI KANYAU AMEJENGA MSIKITI NA KITUO CHA WATOTO YATIMA-MKOA WA PWANI !!! HUU NI MFANO WA KUIGWA KWA VIJANA TUNAPOPATA MAFANIKIO KUJARIBU KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTOA SADAKA
Tulianza kwa kutembezwa, hii ni sehemu ya watoto yatima watakaolelewa hap, idadi yake ni 40 tu!!Hii ni nyumba ya Daudi....!!
Hii ni servant quarterParking ya magariNyumba ya bi mkubwa, mama yake DaudiKwa ndanikwa ndanikwa njeukuta embu ona kwa karibu!!!Nilipenda sana kichuguu eeh!!huu ndio msikiti....!!Kisima kwa ajili ya kutawadha!!!
Na Mungu amzidishie zaidi.
MFANYABIASHARA KIJANA DAUDI KANYAU AMEJENGA MSIKITI NA KITUO CHA WATOTO YATIMA-MKOA WA PWANI !!! HUU NI MFANO WA KUIGWA KWA VIJANA TUNAPOPATA MAFANIKIO KUJARIBU KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTOA SADAKA

naomba nihukumiwe kwa haya ninayosema. huyu jamaa namjua kiundan kuliko unavyofikir, ni muuza unga mzur sana yaan ni wale wanaowatengeneza vijana na kuwatwisha unga. na anauzia hong kong, na china bara pamoja na Thailand, na mara nyingi huwa anafuatana na wanawake kama wawili watatu kwenye safar zake. daa maisha aisee kwel tumwachie Mungu. mtu anajenga mpaka msikiti? lakn pia huwa alikuwaga na duka la nguo pale mliman city pindi flan. cjui sasa.
MFANYABIASHARA KIJANA DAUDI KANYAU AMEJENGA MSIKITI NA KITUO CHA WATOTO YATIMA-MKOA WA PWANI !!! HUU NI MFANO WA KUIGWA KWA VIJANA TUNAPOPATA MAFANIKIO KUJARIBU KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTOA SADAKA
Tulianza kwa kutembezwa, hii ni sehemu ya watoto yatima watakaolelewa hap, idadi yake ni 40 tu!!Hii ni nyumba ya Daudi....!!
Hii ni servant quarterParking ya magariNyumba ya bi mkubwa, mama yake DaudiKwa ndanikwa ndanikwa njeukuta embu ona kwa karibu!!!Nilipenda sana kichuguu eeh!!huu ndio msikiti....!!Kisima kwa ajili ya kutawadha!!!
Kwanini tusijiulize pesa katoa wapi kujenga vitu vyote kwa pamoja???pesa ya kawaida c angejenga kidogodogo??? there must be money laundering sign!!!! Na kwanini amekimbilia kujenga msikiti na c hospital???acheni ubaguzi, hosp wangetumia watu wote lakini msikit ni wachache......
Inamaana hapa kwetu hakuna vyanzo vya kutosha vya kujipati pesa nyingi mpaka hizo unazofikiria ww? tucwe watu wa kuvunjana mioyo kila mja hujikuna anapofikia. Nampongeza kwa alichofanya kwani ni wachache hufikiria haya na khs wapi ametoa pesa na mengineyo ni mungu ndo anajua.
Safi sana!!
Anafanya biashara gani? Isijekuwa unga!!
Lkn angejenga shule kwanza kabla ya msikiti
zungu la unga hili.Hizi picha wakizipata waarabu waliotoa pesa zao kumfadhiri ni lazima wamuongeze pesa nyingine zaidi za kufanya hivi mara 10 zaidi. Hongera mjasiliamari mali mwenzangu. By the way hapa ni wapi? Mleta mada tujuze.