Daudi Ballali's Death

Status
Not open for further replies.
Hivi tukisha letewa picha ndipo tutapata majibu kuwa Ballali aliidhinisha vipi zile pesa za Meremeta, Tangold na EPA?
 
sasa uongo uko wapi? ungejiuliza maswali hayo badala ya kuuliza maswali wrong usingetatizika na kinachoendelea sasa. Jmushi, tulia na jifunze kuuliza maswali ya msingi itakusaidia sana uko mbeleni. Na kuonesha kuwa unakwepa maswali muhimu huja highlite kipengele "D" labda kingekufanya ufikiri kidogo na kuona uzito wa nilichokisema... but that is not you!

MKJJ hapa bado huoni kuwa Ballali alitakiwa kuwa shahidi wa kwanza kwasababu alimdanganya Mama Meghji aandike barua ya kutoa pesa kwa kisingizio kuwa Kikwete ndio alimwambia?
Yani Kikwete hakuona umuhimu wa kummuliza Ballali kwanini amemtungia uongo?
Kwani ni siri kuwa umekuwa upande wa Ballali na Kikwete?
Mimi sipotezi kumbukumbu hovyo hata kama sija quote nakumbuka conversation zote muhimu ambazo tumeshawahi kuwa nazo hapa jf

NB:Unaposhinikizia kipengele D ndipo hapo unapo onyesha uana siasa wako.
 
jMushi,
Maswala mengine mkuu huna haja ya kuingia darasani. Balali alikuwa mwajiriwa wa serikali yetu kama Mtaalam wale tuliokuwa tukiwaita TX... Leo kumetokea swala la Usalama wa Taifa unafikiri kweli Balali angefahamu umuhimu wa fedha hizo kutoka kabla ya mama Meghji waziri wa fedha nchini!...
Hiyo Barua aloandika Balali kupitisha hizi fedha mbona hizo habari zimekuja baada ya Balali kuondoka Bongo kwenda tibiwa Marekani, muda wote bungeni mama Meghji huyo huyo alikuwa akisema hakuna ufujaji wa fedha benki kuu na mwenyewe alisema uchuguzi wa EPA unafanyika, kwa nini asiseme siku hizo kwa sababu alijua alichokifanya yeye..
Je kweli huo ndio Utaratibu wa kutoa fedha benki kuu yaani amri inatoka kule BoT kuidhisha fedha inayotakiwa kwa barua kutuma barua inayosisitiza sahihi ya kiongozi..Hata kama huyo Meghji asiwe na supporting document isipokuwa barua ya balali wakati hufahamu hizo fedha analipwa nani na kwa kazi gani hata kama ni Usalama wa Taifa... Mkuu Meghji alichemsha na ndio maana yupo nje hivi sasa tatizo kubwa ni JK kutowawajibisha hawa watu...
Hata Lowassa na kundi lake wote kina Karamagi, Msabah, Mwanyika, Donald Chidowu wote hawa wamefahamika kuhusika wazi na Richmond.. tumefganya nini zaidi!
na wote wanajitetea kutohusika na Richmond hadi kufa kwao, hivi kweli wewe unaamini hadi apatikane huyo Mhindi wa Houston ndipo tupate ukweli?.. Hivi sasa tunashindwa kitu gani kumvuta huyo mhindi kupitia vyombo vya serikali kama shahidi wa Richmond!..au naye tunasubiri avute kisha tuanze kusema huyo ndiye fisadi..
Toka report ya Mwakyembe umesikia hatua gani JK kazichukua kuhusiana na ubadhilifu ule zaidi ya wao kujiuzuru ama kuwaondoa madarakani wakati wa kuvunja baraza... Kuvunja kule hakuna maana yoyote kwani wapo mawaziri ambao hawakuhusika na deal lolote wamepoteza wadhifa, hivyo hadi leo upelelezi wa Richmond haujazaa matunda yoyote..
Mkuu kubali tu NDIVYO TULIVYO... siku zote sisi hutafuta mchawi wakati wachawi ni ni ndugu zetu wenyewe tunaokula na kulala nao.
 
Nakubaliana na wewe Mkandara kuwa KIFO CHA BALLALI hakina maana kuwa kesi ama ushahidi vimekufa.
Ila naomba niseme hili kabla hatuja anza na hio mijadala:
Ni kweli kuwa Ballali hakuwa na uraia wa Marekani kama wengi wanavyotaka tufikiri!
Marekani ilishamfutia visa na huyu Bwana inawezekana yuko nje ya nchi na ndio maana nilipowasumbua sana wamarekani wakaanza kunielekeza kwa Homeland security ambao wao wanadili mambo ya illegal immigrants ama deportation.
Tuachane na hayo kwasababu tuna imani kuwa yote yatakuwa wazi one day...
Sasa turudi kwa kina Meghji...
Mimi maoni yangu binafsi kuwa Mama Meghji na Kikwete wanatakiwa kuhojiwa pia!
Sasa sijui kama utaratibu ni upi lakini tunataka uhuru wa kudeal na hii kesi kwa namna ya tofauti kabisa!
Connection ni KIKWETE-MEGHJI-BALLALI-MKAPA
 
Meghji alikuwa toka kweye serikali ya Mkapa akifanya kazi na Ballali...Halafu aliteuliwa kwa mara ya pili na serikali ya Kikwete akiendelea kufanya kazi na Ballali kwa kuwa kiunganishi cha Mkapa na Kikwete.
Sasa hawa wote wakamatwe wahojiwe then watueleze kwanini wamewafanyia watanzania haya yote waliyoyafanya!
 
Kifo cha Balali (R.I.P) ni ajali ya kazi....It was not personal it was business (mafia slogan)
 
MKJJ hapa bado huoni kuwa Ballali alitakiwa kuwa shahidi wa kwanza kwasababu alimdanganya Mama Meghji aandike barua ya kutoa pesa kwa kisingizio kuwa Kikwete ndio alimwambia?

Hivi unaota ndoto za wapi? Angalia tarehe za fedha ziliidhiniswa lini kabla hujatunga uongo dhidi ya Kikwete na fedha za EPA.
Yani Kikwete hakuona umuhimu wa kummuliza Ballali kwanini amemtungia uongo?

Mbona unatunga uongo wewe sasa, ni lini Ballali alisema Kikwete ndio amemtuma?
Kwani ni siri kuwa umekuwa upande wa Ballali na Kikwete?

Labda kwenye njozi zako. Lakini zaidi ya yote chuki ni kitu kibaya sana kwani kinakufanya usiweze kufungua macho na kuona.

Mimi sipotezi kumbukumbu hovyo hata kama sija quote nakumbuka conversation zote muhimu ambazo tumeshawahi kuwa nazo hapa jf

Bahati nzuri nakumbuka kila kitu ninachosema humu au kwenye magazeti. Hivi unakumbuka makala yangu ya "Ballali apewe Kinga"? take time to read na utashangaa what I really said na hapo utajua mimi niko upande gani. Otherwise usianze kunitungia uongo kama huu ulioutunga wa Ballali na amri ya Kikwete.

NB:Unaposhinikizia kipengele D ndipo hapo unapo onyesha uana siasa wako.

Kwa sababu nimegundua unachagua vitu vya kuulizia maswali ili upoteze mjadala mzima wa kutafuta ukweli kuhusu fedha zetu zilizoibwa BoT. Unafanya hivyo kwa kupeleka mawazo ya watu kusikohusika kabisa na kutufanya tumuangalie Ballali jaribio ambalo naamini ndilo litakalotokea baadaye. Kumdemonize Ballali ili awe mwana wa shetani ili wale wengine waonekane Malaika. Ningekuwa wewe ningeangalia wahusika wakuu wa sakata hili na nafasi zao na utaona kuwa Ballali was nothing but a disposable pawn!
 
Mushi ana hasira na mafisadi ndo maana kaamua kuendesha vita ya fikira nao, ndo maana kawa mkali tangia balali alipokufa.
 
tatizo amekuwa mkali tangia Ballali alipokufa.... na anampigia kelele maiti..

mara kwanini afe?
Kwanini afe wakati anakaribia kukamatwa?
Kwanini afe mtu huru?
Kwanini afe bila kuaga?
Kwanini Kikwete amuache Ballali afe?
 
Duh kweli watu shingo ngumu humu ndio mnadai kuwa kunatafutwa maslahi ya nchi humu!?
Mbona inaonekana kuna baadhi watu wanatafuta kuonekana kuwa wao NDIO wao humu .
Maana kuna kipindi si lazima kuonekana umeshinda jambo ila binada,u wa akila za kawaida huliona hilo bila mpinzani hako kulikubali hilo.
Pia kuna toauti ya kueleweshani na kubishana tunatakiwa kuepuka ubishi.Basi ni vema kujadili in productive way brothers and sisters!
 
tatizo amekuwa mkali tangia Ballali alipokufa.... na anampigia kelele maiti..

mara kwanini afe?
Kwanini afe wakati anakaribia kukamatwa?
Kwanini afe mtu huru?
Kwanini afe bila kuaga?
Kwanini Kikwete amuache Ballali afe?
Baada ya Balali kufa,Je nini kinafuata

1.Naanza kupata wasiwasi kama hata majina ya wale waliochukua pesa za EPA watajulikana ,sababu Balali ndiyo aliokuwa anawafahamu.

2.Nahisi Ushahidi utakuwa umeshapotea mpaka sasa

Kwa maoni yangu kinachofuata kwa sasa,ni kuhakikisha Mwanakijiji na Jamii Forums inafungwa ili waweze kupeta,kuna wakati nilionya jambo flani baada ya kuonekana siri nyingi za serikali zinavuja,Khali hii ilimchukiza sana mkuu wa nchi na aktoa agizo kali sana watu wanosababisha haya wachukuliwe hatua kali.

Ndio maana kama umeweza kuwa makini kwa muda wa miezi minne sasa Jk amekuwa akikimbia kuongea na taifa sasabu ameshauriwa akae kimya na atumie watendaji wake kuelezea jambo.Ushauri huu alipewa na Mzee Mkapa baada ya Jk kuona mambo yamekuwa mazito alimwita mkuku huyu kuomba ushauri.

Ila Mie natamani hao ndugu zake watuambie nini wanachokijua kuhusu TANGOLD
 
Wakati tulionao hauruhusu kuingilia vyombo vya habari especially Internet forums, wakifunga JF watu tutaibukia sehemu nyingine wakubali watueleze jinsi walivyoiba na wapelekane mahakamani tutawasamee tu wala wasiogope.
 
Wakuu,

Mimi nipeni hata sababu tano kwanini mnaamini Balali kafa?

Naona sasa upande wa Ballali umeingia kwenye kampeni kali kupitia vyombo vya habari, kampeni ya kutafuta mchawi wa Ballali.

Hivi kweli ulishwe sumu, unamjua aliyekulisha, umekimbia nje ya nchi, mungu amekusaidia kuishi miezi tisa mpaka ukapata nafuu, una documents zote, una mamilioni ya watu wanaotaka kukusaidia kama utatoka clean, BADO UNASHINDWA KUMKABILI HUYO MBAYA WAKO?

Naona Anna Muganda na hao mawifi zake sasa wako kwenye kampeni ya kuwadanganya Watanzania. Kama wanataka tuwaamini, basi waombe msaada kwa serikali ili mwili wa Ballali urudishwe kwao Iringa, watueleze Watanzania ilikuwaje mpaka wakashindwa kutangaza kifo cha mpenzi wao mpaka baada ya siku tano? Watueleze ni kwanini wamemzika kimya kimya kama kibaka? MUHIMU zaidi watuambie alilazwa hospitali gani? baada ya kufa ni hospitali ipi imetoa death certificate yake?

Naona sasa Anna Muganda na hao mawifi zake wanaanza kutumia ukaribu wao na mmiliki wa Tanzania Daima ili kuendelea kampeni ya kuwadanganya Watanzania.

Ndio wengine tunamchukia hasa Rostam Aziz na tungependa mwisho wake kwenye siasa ufike haraka. Kama Ballali alikuwa anamtuhumu huyu jamaa kumlisha sumu, alishindwa nini kuanika waziwazi kuhusika kwa Rostam kwenye EPA. Naamini kila mtu anajua Rostam ni mhusika mkuu sana kwenye EPA na laiti Ballali angeamua kutoka clean, angetusaidia Watanzania kumfunga kamba huyu jambazi.

Mimi nitakuwa wa mwisho kumwamini Anna Muganda maana inaelekea naye ni fisadi tu ambaye alitumia ukaribu wake na Mkapa kumwingiza matatizoni msomi wetu Ballali. Huyu mama laiti asingelimficha Ballali kutoka kwa wana familia, naamini wangemshaur vizuri juu ya namna ya kujitoa kwenye mtego aliokuwa ameunasa.

Najua sasa juhudi kubwa zitafanywa ili kumpakazia JK badala ya Mkapa ambaye ndiye hasa alikuwa mhusika mkuu kwenye EPA. msitegemee hata siku moja huyo mama atoe documents zinazomhusu Mkapa. Wanaona JK ameshindwa kuwalinda na sasa wanataka kutumia kifo cha Ballali kumkabili JK. Sawa JK ana makosa mengi sana kwenye hili lakini EPA ni ya Mkapa na hao mawaziri na wasaidizi wake wengine. JK kama mgombea urais alikuwa hana nguvu kabisa ya kuchota mapesa.
 
tatizo amekuwa mkali tangia Ballali alipokufa.... na anampigia kelele maiti..

mara kwanini afe?
Kwanini afe wakati anakaribia kukamatwa?
Kwanini afe mtu huru?
Kwanini afe bila kuaga?
Kwanini Kikwete amuache Ballali afe?

Very interesting questions. They just look funny if you dont really question your brains. To me, they sound quite interesting and worth asking.
 
Hivi inakuaje tuna point kidole kwa Balali peke yake???????Hakua na secretary au mhasibu au ma directors kushugulikia maswala ya hela pale BOT?
 
Wakuu,

Mimi nipeni hata sababu tano kwanini mnaamini Balali kafa?

Naona sasa upande wa Ballali umeingia kwenye kampeni kali kupitia vyombo vya habari, kampeni ya kutafuta mchawi wa Ballali.

Hivi kweli ulishwe sumu, unamjua aliyekulisha, umekimbia nje ya nchi, mungu amekusaidia kuishi miezi tisa mpaka ukapata nafuu, una documents zote, una mamilioni ya watu wanaotaka kukusaidia kama utatoka clean, BADO UNASHINDWA KUMKABILI HUYO MBAYA WAKO?

Naona Anna Muganda na hao mawifi zake sasa wako kwenye kampeni ya kuwadanganya Watanzania. Kama wanataka tuwaamini, basi waombe msaada kwa serikali ili mwili wa Ballali urudishwe kwao Iringa, watueleze Watanzania ilikuwaje mpaka wakashindwa kutangaza kifo cha mpenzi wao mpaka baada ya siku tano? Watueleze ni kwanini wamemzika kimya kimya kama kibaka? MUHIMU zaidi watuambie alilazwa hospitali gani? baada ya kufa ni hospitali ipi imetoa death certificate yake?

Naona sasa Anna Muganda na hao mawifi zake wanaanza kutumia ukaribu wao na mmiliki wa Tanzania Daima ili kuendelea kampeni ya kuwadanganya Watanzania.

Ndio wengine tunamchukia hasa Rostam Aziz na tungependa mwisho wake kwenye siasa ufike haraka. Kama Ballali alikuwa anamtuhumu huyu jamaa kumlisha sumu, alishindwa nini kuanika waziwazi kuhusika kwa Rostam kwenye EPA. Naamini kila mtu anajua Rostam ni mhusika mkuu sana kwenye EPA na laiti Ballali angeamua kutoka clean, angetusaidia Watanzania kumfunga kamba huyu jambazi.

Mimi nitakuwa wa mwisho kumwamini Anna Muganda maana inaelekea naye ni fisadi tu ambaye alitumia ukaribu wake na Mkapa kumwingiza matatizoni msomi wetu Ballali. Huyu mama laiti asingelimficha Ballali kutoka kwa wana familia, naamini wangemshaur vizuri juu ya namna ya kujitoa kwenye mtego aliokuwa ameunasa.

Najua sasa juhudi kubwa zitafanywa ili kumpakazia JK badala ya Mkapa ambaye ndiye hasa alikuwa mhusika mkuu kwenye EPA. msitegemee hata siku moja huyo mama atoe documents zinazomhusu Mkapa. Wanaona JK ameshindwa kuwalinda na sasa wanataka kutumia kifo cha Ballali kumkabili JK. Sawa JK ana makosa mengi sana kwenye hili lakini EPA ni ya Mkapa na hao mawaziri na wasaidizi wake wengine. JK kama mgombea urais alikuwa hana nguvu kabisa ya kuchota mapesa.

Usemayo, Mtanzania ni sahihi kwa asilimia 100, kwa kuwa Anna Muganda kuna ushahidi wa kutosha kwamba ana uhusiano mkubwa na kina Mkapa, Ruhinda na wengineo katika genge la kina Mkapa... Kuna uhakika kwamba kuna WOSIA ambao ulitolewa na Ballali kabla hajaondoka TZ lakini unatumiwa na baadhi ya watu kama silaha/ngao. Kwa kifupi wanaoendelea kunufaika sio Watanzania ni genge la wachache hata Mkono anayetajwa kwenda US hawezi kuwa na mpya kwa kuwa "ndio wale wale'.
 
Huu waraka inawezekana unawaunganisha mafisadi na viongozi walioko madarakani ndo maana hautoki, wanautumia kama ngao ya kuwazuia wasipelekwe mahakani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom