Daudi Ballali's Death

Status
Not open for further replies.
Kaka hakuna sifa kwenye masuala ya kifo! Kama kafa ni kafa tu. SIRI SIRI SIRI mean nothing when things will be out in no time.

BTW: Ngoja nifatilie wapi mwili ulipo

Mkuu itakuwa ni jambo la maana sana kama ni kweli kwasababu wewe unaheshimika hapa JF na hivyo hatuwezi kuona sababu za kudoubt taarifa zako!
 
Serikali ilitoa taarifa juzi kuwa wamekuja kuchukua maiti?
Pia walisema kuwa wameishirikisha serikali ya marekani kwenye usakaji huu wa Mwili wa Balali!
Je wana uhakika na wasemayo?
Hapa tutajua ukweli wa mambo ndio uzuri wake!
 
Wadungu vyovyote mtakavyoniita.I dont have sympathy with such people. Sitaki unafiki.Hakuwa na sympathy toward us. Alikuwa mbinafsi kupindukia, kwani pamoja na kujua kuwa watamuaa hakutaka kutuambia Watanzania, nani alishirikiana nao kuiba pesa zetu pale BOT:
 
Tunashukuru kwa taarifa. Ila itakuwa vizuri kujua taarifa zaidi juu ya kifo hiki. Maana kumekuwa na mada na uvumi mwingi kuhusu kifo cha Bw huyu.
 
Wadungu vyovyote mtakavyoniita.I dont have sympathy with such people. Sitaki unafiki.Hakuwa na sympathy toward us. Alikuwa mbinafsi kupindukia, kwani pamoja na kujua kuwa watamuaa hakutaka kutuambia Watanzania, nani alishirikiana nao kuiba pesa zetu pale BOT:
Mkuu, kuna zaidi usiyoyajua kuhusu hili. Mpe heshima yake marehemu na kama ni kuwambia watanzania NAKUHAKIKISHIA kawambia... Ni suala la muda tu!

YES, nakwambia,,, alisema. Kwa maandishi? Sijui!
 
Kaka hakuna sifa kwenye masuala ya kifo! Kama kafa ni kafa tu. SIRI SIRI SIRI mean nothing when things will be out in no time.

BTW: Ngoja nifatilie wapi mwili ulipo
Nimekuelewa mkuu..... naamini nawe utakuwa umenielewa ni watu wapi namaanisha.

Anyway, tunakushukuru sana kwa kutuletea habari hii.... again, i remain shocked, you know it is overwhelming to learn this in the shadows of hearing some officials were on a clandestine mission to capture him hardly a day ago!!
 
Nimekuelewa mkuu..... naamini nawe utakuwa umenielewa ni watu wapi namaanisha.

Anyway, tunakushukuru sana kwa kutuletea habari hii.... again, i remain shocked, you know it is overwhelming to learn this in the shadows of hearing some officials were on a clandestine move to capture him hardly a day ago!!

So you are saying its possible bredren was dead, but the spies goin to USA was just some shadow-boxin manouvre?
 
Mkuu, kuna zaidi usiyoyajua kuhusu hili. Mpe heshima yake marehemu na kama ni kuwambia watanzania NAKUHAKIKISHIA kawambia... Ni suala la muda tu!

YES, nakwambia,,, alisema. Kwa maandishi? Sijui!

Mkuu we ni mmoja wa watu ninaoamini taarifa zao.
Naomba radhi kwa yeyote ambaye atakuwa ameguswa na maneno yangu na naomba Mwenyezi Mungu anisamehe. Ila ni kweli kuwa sina sympathy as it is to any one who I dont know.
 
Time to move on! ...

Not so fast!

Let's mourn this funeral first and hold off foreswearing anything.

Estates of decedents should be actionable against to recover ill-gotten wealth.

If we do not have that law we need one.

What if, in his death bed, Ndullu signs a legally binding document selling the Bank of Tanzania to his children?

So, I don't know about that "move on" concept.

"May God rest his soul" is all I'm going to say at this juncture.

And I don't know if I really mean that in my heart.

Lord God, you may punish me for being so callous. May you also appreciate my sincerity?
 
Not so fast!

Let's mourn this funeral first and hold off foreswearing anything.

Estates of decedents should be actionable to recover ill-gotten wealth.

If we do not have that law we need one.

What if, in his death bed, Ndullu signs a legally binding document selling the Bank of Tanzania to his children?

So, I don't know about that "move on" concept.

"May God rest his soul" is all I'm going to say at this juncture.

And I don't know if I really mean that in my heart.

Lord God, you may punish me for being so callous. May you also appreciate my sincerity?

Umezibuka,

Bora mie nisieamini mungu sina haja ya kujifaragua.Turudishiwe pesa zetu is all I am going to say.I am pushing my limits not to exhibit a wanton disregard for "tradition", the one thing that guaranteed us this rollercoaster ride and all of its electrifying -some would say electrocuting- shenanigans.
 
nilishasema hakuna mtu anayekufa na pesa na pesa za uizi kwa mara nyingi hutumiwa na wengine na zina nuksi. Wafisadi wote itakuwa kama hivi na kuacha vizazi vyako vijavyo kwenye umasaikini. Tumieni pesa kusaidia nchi
 
Ni bahati mbaya sana kwa Ballali kwamba kaamua kufa peke yake badala ya kutoka clean akiwa hai.

Naamini kachagua option mbaya ambayo itaacha mafisadi kwenye unafuu kuliko angeamua kusema akiwa hai.
 
Mkuu Invisible,

Nasikitika hawa jamaa wamekosa opportunity ya kukuza skills zao za kufanya upekuzi.

Kwa maana nilkuwa nahangaikia viza zao pale ubalozi wa Marekani, ili watusadie kumtafuta Balali. Kuna mambo mengi tu kama chanjo na pasi zao za kusafiria.

View attachment 1576
meerkat officers

Hakijaharibika kitu nawasiliana na jamaa zangu kule Namib Desert wasitishe hili zoezi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom