Dating Questions for GIRLS

October

JF-Expert Member
Oct 5, 2009
2,145
92
Ladies, Here are 2 Questions for you! You may answer all or just pick whichever you want to answer. I got them from one of my friend!

1. You’ve been dating a guy for a month and he’s amazing. You finally have sex and he sleeps over. You wake up at 4am and you are SOAKED. You flip on the light realize that you’re covered in piss (mkojo). The guy admits that he still wets the bed (at 25 yrs old). How do you handle it?

2. Would you date someone who’s under 35 and been divorced, three twice?
 
this is hard..ti he he he.hata hivyo nikukubali hali hiyo kwani mapenzi hayachagui.
 
Najibu kwa niaba ya mshichana ambae niko nae hapa (Yeye hajajiandikisha JF)

The answers are Simple
Kikojozi sitaki haina ubishi wala mjadala.
Alieachana mara 3, Inabidi uchuguzi zaidi ufanyike kwanini anakua aacha-acha
Mtu aliefulia - inategemea kama ana prospects za kutoka katika huo umaskini mfano anaelimu, anaweza kua hana elimu lakini he is intelligent, anaweza kwenda shule, au ni hard worker na mbunifu katika biashara n.k Kama hana hizo talent Sina haja nae, kwanini kujitumbukiza kwenye shida na umaskini wakati unaona?
Sorry these are my view though they might sound odd to others..
 
Mkuu nakuunga mkono, Hata mimi ningekua mwanamke ningejibu hivyo hivyo.
Nihangaike na mtu aliefulia wa kazi gani, Si atafute waliofulia wenzake.
Kikojozi ndo usiseme, ningemwambia aipotezee bila huruma wala haya.
Kuhusu huyu jamaa anaeacha acha...hilo gumu maana itabidi nichunguze zaidi.

Life is short kwa nini kujitesa ukiona?

Back
Top Bottom