KASUKU2012
Member
- Aug 2, 2012
- 5
- 0
wana jf msaada jamani i lost my files on my hard disk nisaidieni software kwa mwenye nayo.muhimu sana.thanks jf
Tafuta Software inaitwa Easy Recovery Professional is very efficient software I have used it several times it has never let me down. Search it and dowload from a torrent searching site such as www.kat.ph
wana jf msaada jamani i lost my files on my hard disk nisaidieni software kwa mwenye nayo.muhimu sana.thanks jf
wana jf msaada jamani i lost my files on my hard disk nisaidieni software kwa mwenye nayo.muhimu sana.thanks jf
go to a torrent client and search for a software inaitwa pareto logic,tafuta yenye patch au crack....its the most efficient i've used so far.......hakikisha unayo hiyo patch na crack before u use it otherwise utaona files zako lakini hutaweza kuzirecover....i hope itakusaidia...kila la kheri
Mimi nimeformat mashine(pc) nimepoteza data zangu nyingi na mm nilikuwa naomba msaada kama nitapata na mm data recover::::::nimedownload zinahitaj kubuy::::::
Nitafurahi sana nikipata hata link ni download