Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,446
- 2,490
there you are kupenge
pls niPM for further talks about this matter.
its my area of concern.
pls niPM for further talks about this matter.
its my area of concern.
Sasa ni wakati wa bunge wetu kutunga au kusadia Tanzania kuwa na DATA Protection Act
hii itasadia watu kutunza nyaraka za serikali na nyaraka za watu binafsi.
1. Wanasiasa kama Dr Slaa wataacha mchezo wao wa kuiba nyaraka za serikali
2. Magazeti ya Shigongo yataacha kuandika maisha ya watu binafsi bila ridhaa yao
3. Gazeti la uhuru na Habari leo litaacha kuandika mambo ya watu binafsi
4. Data Protection act itaongeza security kwenye social networks kama JF kuzuia watu kuleta kuiba nyaraka za serikali na kuleta hapa
My take
Bunge lijalo lijiandae kuja na Data Protection Act maana nchi nyingi zinatumia isipokuwa tanzania
EXAMPLE:Data Protection Act 1998