Data Management

safariwafungo

Senior Member
Apr 26, 2008
116
51
heshima mbele wakuu,
wandugu mimi ni mkaazi wa jiji la dar es salaam, nina hitaji kupata short course ya data management very soon kwa sababu nina research ambayo natarajia kuifanya within two month in time hivyo naomba msaada wa kujuzwa ni wapi ambapo naweza kupata kozi hiyo katika jiji la dar es salaam ama online hasa iweze kukava areas zifuatazo;
The course will cover the following topics:

1. Development of data collection instruments
2.Data collection and plans for data processing

3.Database design and development of data entry screens

4.Computer data entry

5.Overview of preparing data for statistical analysis

6.Data management, including quality assurance procedures

7.Data manipulation

8.Data cleaning and editing

9.Descriptive statistics, arithmetic operators, statistical tests and other computations.

10.Data presentation and interpretation.

11.Report writing.

12.Security and privacy in health informatics

13.Navigating the web for data resources

14.Navigating the web for literature resources

15.Disseminating research findings

THAnKS in Advance!
 
Jaribu jamaa wa ICT pale UDSM. Ila list yako ni defu sana kiasi cha kuifanya ime MSc ya nguvu. Good luck. Ukikwama kabisa tunaweza kuwasiliana kuhusu NO. 9 - 15, hapo naweza kujaribu kidogo!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom