whistle blower Member Jan 5, 2011 84 5 Mar 8, 2011 #1 Ndugu wana JF huyu jamaa ameelekea wapi, tangu afukuzwe tbc hasikiki au amerudi bbc?
magessa78 JF-Expert Member Sep 28, 2009 270 31 Mar 8, 2011 #2 Nasikia yuko wingreza.anamwaga machozi kila siku akiamka asubui na kabla ya kulala!