Daruso imeoza wanafunzi 46 bado wapo sero

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
hi serikali ya Kilawa na wenzake ni majuha sana yani Mpaka leo hawajawatoa wenzao 46 akati hawana makosa na wameshkwa ndan ya chuo. wadau kilawa na wenzake wapigwe dwn
 
niliongea na spika anorld jana, akaniambia stil wanafanya negotiations. ila alivyokuwa anaongea ni kama anaunga mkono walichofanya polisi, ati alidai wana walibondwa walipotoka nje ya geti!
 
Sasa mnategemea nini kama mlichagua hao mazuzu kwa kuangalia ucollage(Cass) badala ya kuchagua mtu kulingana na uwezo wake.balaza lote limejaa mazuzu msitegemee jipya mliwachagua wenyewe.
 
Sasa mnategemea nini kama mlichagua hao mazuzu kwa kuangalia ucollage(Cass) badala ya kuchagua mtu kulingana na uwezo wake.balaza lote limejaa mazuzu msitegemee jipya mliwachagua wenyewe.

beleve me, kilawa, angelista na spika waliwekwa kwa nguvu ya uvccm. kamanda wa uvccm wilaya ya kinondoni na mke wa steven wassira wanahusika katika hilo. unafki wao sasa unadhihirika kwenye suala hili. nimeambiwa kuwa daruso walitoa note ya kuzuia kunji, sasa sijui kama wabunge wanafahamu hili?
 
Back
Top Bottom