Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,785
Wana JF;
Mwaka 1990 kulikuwa kijani kitupu, niliweza kuchuma matunda mbalimbali katika kila msimu wake. Mvua zilikuwa nyingi, miti mingi; mito ilijaa samaki, mifugo ilikuwa na afya, afya za watu hata matumaini yalikuwa juu.
Siku za leo kila kitu ni tofauti na nilivyoeleza, hakuna miti, hakuna mvua, joto kali, matunda ya shida, samaki hamna kwenye mito, kwa sababu mito sasa inategemea mvua.
Nilipouliza hali hii kwa watu wengine wa vijiji vilivyo mbali na vijiji vya mkoa wa Mbeya, nao wanasema hata wao wamenotice hiyo hali. Nimesoma Kibosho-Mkoani kilimanjaro ambapo hali yake ilikuwa sawa kabisa na kijiji cha kwetu kilichoko Tukuyu nao wana hali hii ya kutisha!
Wakati nafikiria miaka 50 ijayo! wakati nawaza vitisho vya climate change na kuongezeka kwa joto la dunia! wakati UN wanato takwimu kuwa production ya mchele imepungua kwa dunia nzima, kutokana na kupungua kwa maji!
NAOGOPA KUSEMA NINI KINAKUJA!
JE KIJIJINI KWENU KUKOJE? piga simu waulize kama hujaenda, naona kuna matatizo yanakuja mbele kuliko tuliyonayo sasa!
Confused!