Dart yazindua ujenzi wa miundo mbinu tayari kwa usafiri wa haraka

kimatire

JF-Expert Member
Nov 27, 2008
371
93
Leo JK amezindua ujenzi wa miundo mbinu ya mabasi uyaendayo kasi pale Ferry PICT0004.JPG PICT0002.JPG PICT0001.JPG PICT0003.JPG PICT0005.JPG .
 
Its toooooo late mr. Presida............mbona kushakucha, huitaji shuka.
 
Hizo kasi zitapitia wapi??? kwenye hizi hizi barabara zetu au kuna barabara special kwa ajili ya hayo mabasi??? Kama zipo zipi??? Yangu macho.... Ka kampeni ka kijinga sana haka......
 
MBONA MNAJADILI SIASA BADALA YA MAENDELEO...? DART imekuja na mpango wa mabasi yaendayo haraka ....sio kasi......JK AMESEMA......maana kasi yatasababisha ajali....MPANGO HUU UNA PHASE 6...NA HII INAYOZINDULIWA NDO PHASE ONE.....MRADI UTAPUNGUZA MSONGAMANO KWA KIASI KIKUBWA SANA......(say basi moja linaweza ondoa magari madogo takribani 50 or more) na linaweza ondoa daladala 10........BARABARA ZITAJENGWA AMBAZO ZITAKUWA ZA ZEGE NA SIO LAMI...KWANI ZEGE INADUMU ZAIDI......PAMOJA NA HAYO , MIPANGO MINGINE YA KUPUNGUZA FOLENI NI KUJENGA MADARAJA/BARABARA ZA JUU YAANI FLYOVERS 6, KUTUMIA RELI, KUANZISHA NIGHT SHIFT.....SERIKALI HAITANUNUA MABASI HAYO BALI YATAENDESHWA NA WATU BINASFI...JK AKASISITIZA KUSEMA WAZALENDO TUCHANGAMKIE HIYO.....!
 
Back
Top Bottom