dare to talk freely in Jf, doesnt mean to talk non _sense things.

tunalazimika

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,098
256
ndugu zangu watz, sisi hatuna sababu yoyote ya kushindwa kuendelea kama China, Japan, Malyasia n.k nchi ambazo back to 50s tulikuwa tunalingana nao_kilichotufikisha hapa ni mfumo duni Utawala unaolenga kuwanufaisha wachache na wengine kuish kama watumwa ndan ya nchi yao. Inasikitisha kuona kipindi hiki cha mapambano ya uhuru halisi, watu wengine wanajikita kutuma posts za Udini na zenye kuwagawa watz kwa races zao_ndugu mods, naamini niny mna uwezo mkubwa wa kutusaidia ktk hili na kuongoza mapambano ya ukweli_tuondoleen haraka posts ambazo hazitujeng na badala yake kutugawa watz
 
ndugu zangu watz, sisi hatuna sababu yoyote ya kushindwa kuendelea kama china, japan, malyasia n.k nchi ambazo back to 50s tulikuwa tunalingana nao_kilichotufikisha hapa ni mfumo duni utawala unaolenga kuwanufaisha wachache na wengine kuish kama watumwa ndan ya nchi yao. Inasikitisha kuona kipindi hiki cha mapambano ya uhuru halisi, watu wengine wanajikita kutuma posts za udini na zenye kuwagawa watz kwa races zao_ndugu mods, naamini niny mna uwezo mkubwa wa kutusaidia ktk hili na kuongoza mapambano ya ukweli_tuondoleen haraka posts ambazo hazitujeng na badala yake kutugawa watz

well said mkuu.
 
Upo sahihi mzee, kuna watu humu JF hawawazi maendeleo, wanawaza kuamka na kupost tu, hawafikirii post yake inafaida kwa maendeleo ya Tanzania
 
mimi ni mgeni hapa jf lakini kwa muda mfupi nimegundua kuwa baadhi ya post hazijengi kabisa Tuwe wakweli tunapopata nafasi ya kutoa maoni yetu
 
Back
Top Bottom