Darassa hii sasa too much, Wimbo wa 'Muziki' umetikisa Bongo nzima

Darassa akiweza kufanya show za kimataifa, au tour au kuweza kuandaa show zake mwenyewe hapo, unaweza sema WCB imepata challenge ila level hizi hata akina joh makini - dont bother, nusu nusu alisumbua sana mpaka mtv base na trace huko...
 
Wimbo wa Darassa ni mzuri sana kuusikiliza na kuucheza.

Note:
Hivi wabongo hatuwezi kumsifia na kumkubali mtu mpaka tumlinganishe na fulani??
 
Darassa akiweza kufanya show za kimataifa, au tour au kuweza kuandaa show zake mwenyewe hapo, unaweza sema WCB imepata challenge ila level hizi hata akina joh makini - dont bother, nusu nusu alisumbua sana mpaka mtv base na trace huko...
Umeisahau Perfect Combo...
 
Katika hipohop ya bongo nawakubali wawili joh makin na darasa na Niki wa2 tu.
Mbona umetaja watatu wakati umesema umesema unakubali wawili
Ndugu zangu, Darasa sio yule tena wa 'sikati tamaa' Siku hizi yupo kikazi zaidi. Kila kukicha anazidi kuwa mkali.

Ngoma yake hii ya sasa inayoitwa 'MUZIKI' aliyomshirikisha Ben Pol ni kalii hatari. Kafunika ngoma ya Kokoro na Kajiandae.

Huku mitaani ni vurugu tupu, kila kona ninakopitaa ni ngoma ya Darasa inapigwa.

Similar Discussions

Back
Top Bottom