Darasa la mahusiano jinsi ya kuwakamata wadanganyifu katika mapenzi

mmzalendo

Senior Member
Nov 1, 2010
165
1
kuna darasa la mapenzi jamani linaanza leo
lichachukua siku kumi ni kila siku saa 0100 GMT+0 AU UK
HOURS
NI JINSI YA KUMKAMATA MPENZI WAKO ANAYEKUDANGANYA
AU NJIA ZA KUJUA KAMA ANATAKA KUKUDANGANYA

PIA HAPA KILA HUO MUDA www.lifeofmshaba.com
nenda tafuta love and passion class ni kuanzia leo
 
na ukisha mkamata then what next,......hapa nahisi ndoa,uchumba,wapenzi kibao wataachana
 
na ukisha mkamata then what next,......hapa nahisi ndoa,uchumba,wapenzi kibao wataachana

Well said my dear, mimi sitaki hata kujifunza kumkamata, nitakamata wangapi? bora tu nisiendelee kujua. igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
hhahahahahah ukimkamata unaweza kujifunza nini chanzo
na tabia kukoma mbona tunakua waoga
 
Sorry but it won't work for everyone!Na njia zote mtakazoweka wazi zinaweza kupingika kirahisi!Istoshe wale wasiojiamini na kila siku wana hisia zinazowaelekeza kubaya kuhusu wapenzi wao hata kama hamna kibaya kinachoendelea wataishia kuvuruga ndoa na mahusiano yao kwasababu wameambiwa wafuate intuition!
 
lol waoga mekuwa wengi lakini darasa bado linaendela wenge ujasili wanakula hekima
 
wee zama kwenye link

avatar41085_3.gif

Pole naona umepata darasa hadi unalia, umegundua siri ya kudanganywa nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom