Darasa la kutongoza kwa wanaume

eti ooh dada umevaaje leo huko ndani?
mara umelalaje unaangalia juu chini? yaani siku nikimshika namuwasha vibao wallah
Unajua hapa tuna upande mmoja tu wa stori. Tunaweza kuwalaumu sana hao washikaji kumbe inawezekana mwenye tatizo ni wewe. Kwa sababu hainingii akilini watu wote hao waje kwa staili hiyo hiyo moja. Inawezekana wewe mwenyewe unajilengesha kwa namna moja au nyingine. Asikwambie mtu wanaume wote wanatongoza mwanamke kwa namna anavyorespond katika mazungumzo. Na ndiyo maana kuna wanawake ambao unaweza kuonana nao leo hii na ukawaambia nataka twende nikaku......mbe na bado ukapewa mzigo.

Kwanza siku hizi kuna kutongoza tena kweli
maana nfikiri kutongoza kumebaki kwa hivi vitoto vya sekondary na msingi
mtu mzima najipinda kweli kutongoza na kutangaza sera zangu nyingi na ahadi nyingi za uongo

Bora useme wewe! Maana ile ART ya kutongoza nadhani imeondolewa na maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano ya habari. Unajua zile za zamani umekaa meza moja na mdada unamwaga sera zako ilikuwa ina raha yake!

Bora useme wewe! Maana ile ART ya kutongoza nadhani imeondolewa na maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano ya habari. Unajua zile za zamani umekaa meza moja na mdada unamwaga sera zako ilikuwa ina raha yake!

kabisa mkuu
hakuna tena raha siku hizi maana ulikuwa unajipinda unamwaga sera mbaya kabisa
siku hizi simu na internate zimemaliza kila kitu

mimi ni mwanamke n
nilikutana na mkaka mmoja sijui alinipenda au alinitamani alivonitongoza kabla sijamjibu kuna siku akanipigia simu nasimu ya rafiki yake tumiit somewhere nilienda na akaja na huyo rafiki yake.tukaakaa wakaondoka.usiku yule rafiki akanipigia akaniambiadada mimi nimekupenda saana naomba tuwe pamoja huyu rafiki yangu ana mchumba tayari na keshamtambulisha kwao nikwamwambia sikutaki wewe wala huyo rafiki yako swali langu ni hv huyo mkaka alitegemea kwa kuniambia ivo ningemkubali?

2case
huyu mwingine kanitongoza nae usiku akanipigia helo helo eti dada umevaa underwear gani? kiukweli sikuwa na jibu na nikamdiscolify hapohapo naona kama hana adabu huyu

3case huyu ni mkaka wa kijijini kwetu
nilikutata nae town niko na marafiki zangu akaniita bembeni akaniambia yaani nimekutamani sana nikamuuliza unamaanisha nini akasema yaani nakutamani toka huko mdogo kiukweli tulimtukana sana
swali.wanaume hawajui kutongoza au ni vp? kwanini mnashindwa kuweka heshima mbele?
ina maana wanaume hamjui kutongoza kwa heshima

Ujue nimetafakari sana thread yako, nionavyo mimi wewe huwa kuna maneno maalumu uyapendayo kuyasikia wakati ukitongozwa na inawezekana si kila mtoto wa kike ila wewe tu,kutongoza au kutongozwa hakuna kanuni,lile tukio maranyingi hutokea kulingana na mazingira,mood,muda na umri wa wahusika wenyewe, hivi vitu ndo determination kubwa ya kufacilitate au kukwamisha process nzima ya kutongoza au kutongozwa.Mimi sioni kosa kwa yule aliyekwambia nilikutamani toka ukiwa mdogo,tusidanganyane hapa "kutamani na kupenda" ni ngumu sana kuvitenganisha. kwa case namba moja na mbili hizi ni vulugu za maono tu za watoto wa kiume kama ushamba fulani ambao kwa mtoto wa kike makini ana-solve bila shaka kabisa wala haimsumbui. just cheer up lady!

Acha kudanganya mkuu

Approach yako si lazima iwe ya wote. Eti utengeneze urafiki kwanza, for how long? Chelewa chelewa utakuta mwana si wako! Kanuni zangu kama huyu nang'oa (I.e. Nakubalika kwake) nakong'oa tu hata kama nije waluwalu kinoma. Na kama huyu si wa kung'oa hung'oi ng'o hata uje kistaarabu namna gani. Na kwa sababu hiyo kuna mademu waweza ng'oa ndani ya siku 3, wiki, mwezi, miezi mitatu and so forth. Na kama si wa kung'oa hata ukomae vipi hutang'oa sana sana utajichosha bure kwa kupretend kuonesha ustaarabu fake usiokuwa nao

Kwanza swala la kufanya ustaarabu fake ctalizungumzia hapo,na hii njia co ya kupata mtu wa kugonga na kuacha. Mke mwema hupitia chio hzo othrwiz mwaka hammalizi.

Back
Top Bottom