Darasa la kutongoza kwa wanaume

wanaume inaonekana imewagusa sn.bt ndo ukweli wenu,wengne n swagalec

Huna lolote we sema kwa sababu alikuwa katoka bush,na unamjua kuwa hana kitu kwani hatuwafahamu nyie viumbe?ungemkubali ungekuja kuanika hapa?

Kwa kawaida wanawake wamezoea kudanganywa,sasa kama ukimtamkia ukweli kama vile nakutamani yeye anaona bado ujampenda kiukweli kwa hiyo ni lazima uingie na gia kama nikilala nakuota,nikinywa maji nakuona kwenye glasi nafikiri hapo ndio utampata kirahisi.

Ahahaha wewe ulitaka ku[peaAhadi za uwongo na hukupewa hehehehe poleeeeeee jamaa alikwenda direct to the point

. Ki2 cha kwanza ni kutengeneza frndshp,and ili muwe marafiki nilazima mshee interest. Humu ndani kuna watu hawajui vitu vng sana ndo mana wanapigwa vibuti.

Acha kudanganya mkuu

Approach yako si lazima iwe ya wote. Eti utengeneze urafiki kwanza, for how long? Chelewa chelewa utakuta mwana si wako! Kanuni zangu kama huyu nang'oa (I.e. Nakubalika kwake) nakong'oa tu hata kama nije waluwalu kinoma. Na kama huyu si wa kung'oa hung'oi ng'o hata uje kistaarabu namna gani. Na kwa sababu hiyo kuna mademu waweza ng'oa ndani ya siku 3, wiki, mwezi, miezi mitatu and so forth. Na kama si wa kung'oa hata ukomae vipi hutang'oa sana sana utajichosha bure kwa kupretend kuonesha ustaarabu fake usiokuwa nao

inawezekana na wewe huna adabu kwani kumtukana ndo kuonesha hisia zako?? na inawezekana kasema hivo kutokana na mwonekano wako ulivo na si wote wanaume wanaweza kutongoza ila kazi kubwa huwa ni kujua mtu wa kweli na mwenye nia make kuna uwezekano ukatongozwa vizuri na ukamwagwa baada ya jamaa kumvulia au kuna uwezekano wa kupendwa kwa dhati pamoja na kutongozwa vibaya! so inategemea!

Teh! teh! Teh! Dah! Hao ni washamba 2 kwaiyo jibu unalo yourself wekama unataka kujua kuna mafundi wa kutongoza jaribu kunicheki nikutongoze kama aujachoma mafuta unifate nilipo niayo2 mrembo amaunt

Sasa we ma jery title ya thread yako inatofauti na maudhui? ulikusudia kueleza mikasa ya kutongozwa au au darsa ya kutongoza kwa wanaume? manake naona hueleweki

Pia angali usije kuwa na kimavi cha kutongozwa na washamba washamba kama hao....jiangalie mara mbilix2

au umetongozwa siku hiyohiyo usiku anakwambia, niandikie msg nzuri, maneno hata sijui utayatoa wapi

mimi ni mwanamke n

nilikutana na mkaka mmoja sijui alinipenda au alinitamani alivonitongoza kabla sijamjibu kuna siku akanipigia simu nasimu ya rafiki yake tumiit somewhere nilienda na akaja na huyo rafiki yake.tukaakaa wakaondoka.usiku yule rafiki akanipigia akaniambiadada mimi nimekupenda saana naomba tuwe pamoja huyu rafiki yangu ana mchumba tayari na keshamtambulisha kwao nikwamwambia sikutaki wewe wala huyo rafiki yako swali langu ni hv huyo mkaka alitegemea kwa kuniambia ivo ningemkubali?

2case

huyu mwingine kanitongoza nae usiku akanipigia helo helo eti dada umevaa underwear gani? kiukweli sikuwa na jibu na nikamdiscolify hapohapo naona kama hana adabu huyu

3case huyu ni mkaka wa kijijini kwetu

nilikutata nae town niko na marafiki zangu akaniita bembeni akaniambia yaani nimekutamani sana nikamuuliza unamaanisha nini akasema yaani nakutamani toka huko mdogo kiukweli tulimtukana sana

swali.wanaume hawajui kutongoza au ni vp? kwanini mnashindwa kuweka heshima mbele?

ina maana wanaume hamjui kutongoza kwa heshima

Ina maana ktk maisha yako umetongozwa na hao watatu tu? Mbona hukutuambia juu ya wale waliokutongoza na wakakupata? Watatu hao ndo wamekuwa jumlisho la wanaume wote?

Kama unapata wa kukutongoza kihivyo tu peke yake basi kuna tatizo fulani upande wako. Kwa nini wewe upate wasiojua kusololea tu??

mimi ni mwanamke n
nilikutana na mkaka mmoja sijui alinipenda au alinitamani alivonitongoza kabla sijamjibu kuna siku akanipigia simu nasimu ya rafiki yake tumiit somewhere nilienda na akaja na huyo rafiki yake.tukaakaa wakaondoka.usiku yule rafiki akanipigia akaniambiadada mimi nimekupenda saana naomba tuwe pamoja huyu rafiki yangu ana mchumba tayari na keshamtambulisha kwao nikwamwambia sikutaki wewe wala huyo rafiki yako swali langu ni hv huyo mkaka alitegemea kwa kuniambia ivo ningemkubali?

2case
huyu mwingine kanitongoza nae usiku akanipigia helo helo eti dada umevaa underwear gani? kiukweli sikuwa na jibu na nikamdiscolify hapohapo naona kama hana adabu huyu

3case huyu ni mkaka wa kijijini kwetu
nilikutata nae town niko na marafiki zangu akaniita bembeni akaniambia yaani nimekutamani sana nikamuuliza unamaanisha nini akasema yaani nakutamani toka huko mdogo kiukweli tulimtukana sana
swali.wanaume hawajui kutongoza au ni vp? kwanini mnashindwa kuweka heshima mbele?
ina maana wanaume hamjui kutongoza kwa heshima

Uliowakubalia walikutongozaje?
Kwa kifupi hakuna kati yao uliyempenda,
Hayo maneno yanaweza kurudiwa na mtu mwingine na ukaona ndo kakutongoza kwa usahihi kumbe ni same words,

What matters ni wewe pia kuwa na feeling nae na kumpenda. kutongoza ni kuridhia tu hisia ambazo tayari zimejitokeza baada ya wawili kuingia katika hisia sahihi za Kupendana.

Katika theory za mapenzi, unaweza kuzungumza (Kutongoza) au kuonesha Ishara ambapo mwisho wa siku dhana kusudiwa inafikiwa na wakati mwingine kuna watu wanakuwa kwenye mahusiano bi hata kutongozana kama utakako wewe!

Ndio ubinadamu huo! Kesho watakuja wataotanguliza pesa kabla hata hawajakutongoza kwa hiyo usijali bibiye!

USINICHOSHE NISIKUCHOSHE...most people wameweka ngono mbele(nikiwa na mimi) so ukitaka maua rose ndugu yangu subiri mwaume atakaekupenda kwani mwanaume akikupenda atakueshimu na atakuwa mvumilivu kwako...usimchoshe

Back
Top Bottom