Kilembwe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 2,056
- 1,598
Mkuu nimesoma hayo maelezo vizuri kabisa, kabla ya bandiko langu la mwanzo.
Hebu fikiria hii scenario...
Kampuni imefanya kazi mbili za kusanifu madaraja (Kigamboni na Mkapa bridge). Kazi yao imeisha na wamerejea kwa Misri.
Baada ya miaka kadhaa wanaandaa brochure ya kampuni (na anayeandaa hizo brochure hajui chochote kuhusu Kigamboni wala Rufiji).
Huoni inakua rahisi kuchanganya mambo?
Cha kujiuliza hapa ni kama hawa jamaa walishiriki katika hatua zozote za miradi ya madaraja ya Rufiji na Kigamboni. Bado siamini kwamba mtu mwenye akili timamu anaweza kudanganya kitu cha aina hii.
Tuseme sawa aliyeandaa hii brochure alichanganya kati ya kigamboni na rufiji, sasa kurasini nayo je? amechanganya? sorry lakini kwangu mimi utetezi wako juu ya hawa jamaa ni failure argument! hawa jamaa walifanya makusudi kabisa1