Kwanini wenye magari walipe daraja la Kigamboni?

KZJ

Member
Oct 18, 2012
45
2
Ningependa kujua kwanini daraja la Kigamboni wenye magari walipe wakati wa kupita, kwani linajengwa kwa fedha za wafanyakazi.
 
Ningependa kujua kwanini daraja la kigamboni wenye magali walipe wakati wa kupita,kwani linajengwa kwa fedha za wafanyakazi.

Hoja zingine zinataka uwe chiiziii lasivyo utazeeka siku si zako????
 
Back
Top Bottom