Daradara, Bajaji na Bodaboda zimepewa msamaha wa kufuata sheria za barabarani?

Tankthinker

Member
May 1, 2011
58
9
Wana JF, hivi hizi daradara, Bajaji na bodaboda zina kibari cha kuto kufuata sheria. Maana mara kwa mara tunasikia vyombo vya dola viki sisitiza kuwa yeyote atakaye tanua barabarani atachukuliwa sheria. Lakini naona ndo kwanza dadaradaram Bajaji na bodaboda wana koleza tu. Au ni mali za hao wahukumu wa makosa ya barabarani?. Kwa kwei mimi na kerwa sana na tabia hiyo maana ndiyo inayo changia ajali nyingi barabarani, na foreni zisizo na msingi. Hivi hilo nalo halina ufumbuzi kweri?. Ah!!!!
 
Back
Top Bottom