Dar Village Project in Dar es Salaam

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Hivi kuhusiana na masuala ya 'public interest' serikali ilishindwa kulitwaa eneo hilo kwa ajili ya kuwekeze huo mradi wa jamii. Ebu fikiria kama tungekuwa na chuo na kikosi cha zimamoto maeneo ya Mikocheni ambako ni sehemu 'strategic' kuliko makao makuu pale 'ushirika' (sijui kama wameshahama) na kubadili mfumo wa zimamoto Tanzania. Simu 2000 sound to be so 'shady' in its operations

How Dar lost out on second fire station in bungled privatisation

home+sub+1+pix.jpg

Lands Minister John Chilligati (right), inspects the construction of the Dar Village project. On the left is Koola Zadock, chairman and CEO of ZEK Group. Photo/LEONARD MAGOMBA

By JOSEPH MWAMUNYANGE and WILFRED EDWIN
Sunday, April 26 2009 at 09:41

The Tanzanian government missed out on a plot listed for privatisation by Simu 2000 Ltd on a technicality, it has emerged.

The plot would have housed Dar es Salaam city's long-awaited second fire station, the new fire service headquarters, and a training centre.

Six years later, the country's commercial capital, with three administrative districts and a population close to four million, still has only one fire station - at Ilala.

The state, through the Ministry of Home Affairs, was denied purchase of plot no. 717/3 at Mikocheni in Dar es Salaam, formerly the Printing Unit of the Tanzania Telecommunications Company (TTCL), because it failed to pay five per cent of its initial bid upfront.

Investigations show that the then acting home affairs permanent secretary, W.N Mogoile, wrote to Simu 2000 in January 2003, asking that the ministry be allowed to purchase the property at Tsh1,957,705,000 ($1.84 million).

In its bid, the Ministry of Home Affairs said it wanted to bid for Commercial Building Plot No. 717/3 Mikocheni Dar es Salaam, "for the purpose of converting it to be the Fire and Rescue Services Force Headquarters and also the National Fire and Rescue Training School."

At the time, the ministry was under Omar Ramadhan Mapuri, who is now the Tanzanian envoy to China.

Mr Mogoile told Simu 2000 that as a government ministry that received funds according to the budget, "We are not able to pay the 5 per cent value amount due to government financial regulations."

In September 2003, Simu 2000, which was set up for the purpose of disposing of the TTCL assets in a bungled privatisation exercise, initiated communication with one of the bidders for the plot, ZEK Group, asking it to confirm its bid to purchase the printing unit at Tsh800 million ($775,000).

When ZEK Group confirmed the bid vide an undated letter with the reference number ZG/SIMU2000/1609/2003, the seller, Simu 2000, persuaded the Treasury to allow it to sell the asset at a lower price than that quoted by the Home Affairs Ministry.

While the Home Affairs' plot buyout plan was blocked by Simu 2000, the Treasury gave a go-ahead through a letter dated December 30, 2003, for five properties in Dar es Salaam, Tanga, Arusha, Moshi and Iringa.

They were to be sold at discounted prices - which permission was used to sell the printing unit plot to ZK Group at Tsh800 million ($775,000), way below the initial evaluation of Tsh1.9 billion ($1.84 million).

Surprisingly, even though the ministry was denied the chance to buy the property and develop it into a top priority and essential facility for lack of a 5 per cent down payment, ZEK Group itself didn't pay the full amount but was allowed to pay in instalments.

One industrial observer told
The EastAfrican last week, "This is another case of how privatisation was mishandled in this country."

According to correspondence from Simu 2000, the first instalment of Tsh150 million ($145,600) was to be paid during the first week of February 2004 and another of Tsh250 million ($242,000) by the last week of the same month.

Simu further stated, "The remaining 50 per cent [is] to be paid by December 2004. After paying 50 per cent of the value [Tsh400 million or $387,500] by the end of February 2004, the property will be handed over to you for further development whereas documentation of the same will be processed after making full payment for the property."

Even though the property was handed over to ZEK Group some years ago, for the purpose of putting up a modern shopping mall, little had been done in terms of developing the plot.

Another twist to the tale is that ZEK Group has sued its neighbour, Rose Garden, a popular entertainment spot, which had been in the area long before the group acquired the printing unit plot.

ZEK Group claims that it is being denied access to its property.

According to the ZEK Group, the world class shopping mall will be functioning by May 9 this year.

Other unanswered questions in the Ministry of Home Affairs offer to purchase the property for Tsh1.9 billion ($1.84 million) and the subsequent sale to ZEK Group, concern the unavailability of documents showing how the tender was conducted.

Public property is supposed to be sold through an open process.

Simu 2000 Ltd was formed under the Public Corporations Act, 1992 to transfer non-core assets of TTCL and to deal with pension assets and liabilities of the East Africa Posts & Telecommunications Pension Scheme from TTCL to Simu 2000.

Source:http://www.theeastafrican.co.ke/news/-/2558/591152/-/item/1/-/t8xx6/-/index.html
 
Tunajenga WORLD CLASS SHOPPING MALL badala ya fire station! Our priorities in a nutshell.

A fire station for what? people want to shop! NIliandika makala "Taifa lisilojiandaa kwa majanga limejiandaa kwa maafa"! Dar iko karibu na bahari na iko karibu na usawa wa bahari.. hivi kuna emergency evacuation plan ya jiji la Dar in case of a calamity? Kuna ving'ora vya tahadhari? now... (i didn't know this one) kuna fire and rescue brigades za kutosha kwenye mji wa watu karibu milioni 3?

Well, I know watasema nini likitokea janga kubwa Dar.. "jamani haya ni mapenzi ya Mungu"!.. na wakazi wa Dar waliozoea kinyaa watasema "Amen!"
 
M.M.

Yes some of us living in Dar tunapambana sana kuonyesha the positive glimpse ya Bongo yetu; kuna mambo tunapinga kuhusu mtazamo wa nje lakini kwa kweli lazima tukubali kuna upuuzi mwing tu unatokea katika mipango endelevu ya maendeleo--- hili la fire station ni mojawapo!!!!

Reasons ni nyingi lakini angalia nini kilifanyika baada ya kukosa hiyo plot; they havent come up with alternative plan-- na kwa jinsi Dar ilivyo we may need at least 5 fire stations kwasababu hatuna mipango miji wala barabara

Kibaya zaidi haohao wanaruhusu elevation ya mji [city center] bila elevation ya fire fighting quality

UKIJA KWENYE INFRASTRUCTURE SIJUI ITAKUWAJE MAANA HAYO MAGOROFA MAPYA SIJUI KAMA YALIKUWEPO KWENYE FUTURE PLANS ZA SEWARAGES AND SAFETY PLANS IN CASE OF NATURAL DISASTERS

BUT IT IS ALWAYS WORTH TALKING ABOUT THIS HOPING KWAMBA KUNA WATU WANASOMA NA KUWEKA VICHWANI MWAO
MUNGU ATUBARIKI
 
A fire station for what? people want to shop! NIliandika makala "Taifa lisilojiandaa kwa majanga limejiandaa kwa maafa"! Dar iko karibu na bahari na iko karibu na usawa wa bahari.. hivi kuna emergency evacuation plan ya jiji la Dar in case of a calamity? Kuna ving'ora vya tahadhari? now... (i didn't know this one) kuna fire and rescue brigades za kutosha kwenye mji wa watu karibu milioni 3?

Well, I know watasema nini likitokea janga kubwa Dar.. "jamani haya ni mapenzi ya Mungu"!.. na wakazi wa Dar waliozoea kinyaa watasema "Amen!"

Wenzetu wameianza kupanga mikakati ya namna ya ku-mitigate level ya bahari ikipanda kutokana na global warming! Sisi, tunatoa vibali vya kujenga kando kando ya bahari!

Tumejitoa katika utoaji wa services. Fire services zimekuwa biashara ya machinga. Niliwahi kuambiwa kuwa kuna wakati hao praivet zima moto walikataa kuingia kumnusuru jamaa aliyekuwa ndani wakati nyumba inaungua hadi waambiwe nani atakaewalipa gharama zao! Leo wananchi nauli ya dala dala inawashinda, tunawajengea WORLD CLASS shopping mall! Leo watoto na hata watu wazima hawana mahali pa kupumzikia, tunawajengea WORLD CLASS shopping mall! Leo wakati barabara hazipitiki sehemu nyingi ya jiji, nasikia hawa waheshimiwa wamehakikishiwa kuwa mabarabara inayoenda kwao itapanuliwa ili nayo iwe WORLD CLASS. Yale yale ya kumuuliza anaekulilia njaa, "kwa nini usile keki?"

Amandla........
 
Hi Dar Village ni ya Zadock Koola??
Alibebwa tk ununuzi wa kiwanja hicho,.........MWIZI MKUBWA HUYU.
 
Hivi kama Taifa priorities zetu ni zipi? We can not do anything with the kind of leadership we have. We will continue to work on emergencies as they arise for their benefits.
 
Tanzania zaidi ya uijuavyo!! Sishangazwi na hili, ni sehemu ya mafonyofonyo ya sirikali ya kidumu chama cha mapinduzi. Asante mdau kwa kutujuza wadanganyika.
 
ZADOCK is back in the news...watu wakisema mnasema anaonewa

Kwa nini wasijenge hiyo fire station kule MBAGALA ?

whats so special about MIKOCHENI?
 
Hi Dar Village ni ya Zadock Koola??
Alibebwa tk ununuzi wa kiwanja hicho,.........MWIZI MKUBWA HUYU.
We hakimu wa Mahakama ipi? Sina uhakika na maneno yako lakini nakuambia heri huyo Zadook kachuma hela yake na anawekeza Tanzania hii hii! Heri huyu mara kumi. Tuna uhakika ataajiri ndugu zake, majirani, marafiki, mashemeji, na kama ni mtu wa mademu hata mademu zake wataajiriwa hapo. Pamoja na watu wengine katika jamii hata kama ni kwa upendeleo. Vipi hao wanaochuma wanapeleka Dubai, Canada Marekani na kadhalika, wataifaidisha vipi Tanzania kwa hela hizo!!!!!!! Biashara anayofanya Zadok inalipa, na kwenye kila biashara kuna ujanja ujanja sio lazima wizi.
 
Hakuna afadhali kwenye wizi. Mbona mnamsema Rostam wakati magazeti yake yako bongo? Hivi kuajiriwa kama mfagia vyoo kwenye hiyo WORLD CLASS shopping mall ni sawa na hizo zahanati, barabara n.k. ambako hizo pesa zingeenda kabla ya kubinafsishwa?

Kama kweli ni mwizi ( kitu ambacho hakijathibitishwa) hana tofauti na hao wengine. Yale yale ya kumtetea mtu ati kwa sababu ni mmatumbi mwenzetu.

Amandla.........
 
mimi sina problem na Zadock, wa kuwajibika hapa ni hao maafisa wa serikali. ZK is just a businessman. he wasn't gonna issue himself ownership papers and approval for that project. walioidhinisha wamekufa?

na kama wameshachemka, serikali kuu badala ya kuzidi kupoteza muda bora itafute location mpya kwa hiyo project ya fire brigade HQ.

Tanzania government is in auto pilot mode, i guess.
 
Kuna data nyingi za kuonyesha jinsi gani serikali chini ya CCM inaendeshwa kiholela. Katika kampeni za urais sijawahi kusikia hizi data zikitolewa hata siku moja! Hili kwa upande mmoja linaweza kuwa ni tatizo langu, kwa sababu ya kutokuwa 'very well informed'. Lakini hapa papo, point hii hii inaonyesha ni jinsi gani Watz wengi walivyo ill-informed. Kama kweli vyama vya upinzani vilitembeza kampeni hizi, mimi na ujinga wangu wa kutokujua ningetakiwa kupata angalau fununu fulani fulani za hizi ishu.
Nategemea na kuomba hizi data zitoke kwa wingi katika kampeni ya 2010. Badala ya Chadema kutumia milion 700 katika helikopta, wangeitumia katika ku-print vi-pamphlet vyenye hizi data na kusambazia wananchi.
Kumbekini, power to change lies with the majority, na sio kwa wachache wajuao mambo.
 
A fire station for what? people want to shop! NIliandika makala "Taifa lisilojiandaa kwa majanga limejiandaa kwa maafa"! Dar iko karibu na bahari na iko karibu na usawa wa bahari.. hivi kuna emergency evacuation plan ya jiji la Dar in case of a calamity? Kuna ving'ora vya tahadhari? now... (i didn't know this one) kuna fire and rescue brigades za kutosha kwenye mji wa watu karibu milioni 3?

Well, I know watasema nini likitokea janga kubwa Dar.. "jamani haya ni mapenzi ya Mungu"!.. na wakazi wa Dar waliozoea kinyaa watasema "Amen!"
ndo maana nimeamua kuishi jirani kabisa yaani hatua chache na bahari ili kama likitokea la kutokea niwe wa kwanza.
serikali ya ZEKOMEDI hii
 
Badala ya Chadema kutumia milion 700 katika helikopta, wangeitumia katika ku-print vi-pamphlet vyenye hizi data na kusambazia wananchi.
Kumbekini, power to change lies with the majority, na sio kwa wachache wajuao mambo.

Suala la helikopta ni debatable mkuu mi ningesema badala ya ku-print vi-pamphlet vyenye hizo data kwanini msitumie helikopta ili muwafikie wasiojua kusoma na wavivu wa kusoma kwa kwenda na kuwaambia kwa maneno ya mdomoni!
 
Sasa wabongo mbona tumezidi sana kulalamika jamani daah!! mletewe nini sasa...kila kitu kwenu ni lawama, waacheni wenye hela nao wapate fursa ya kutumia hela yao nchini kwao kodi ziongezeke na hizo bara bara na zahanati zijengwe..sasa mnataka watu wafanye hizo shopping Dubai au wakale raha nje ya nchi serikali itapata wapi mapato kwa style hiyo....tuweni postive thinkers kidogo...Fire Station sijui na hicho chuo vitafutiwe sehemu nyingine, mbona ziko nyingi tu..kwani lazima hapo mikocheni/TTCL???? Vitu vizuri kama ivi vikija na tena especially viwe vinafanywa na raia mwenzetu naona ni vizuri viungwe mkono na si vinginevyo...mnataka nini zaidi.!!
 
Tuangalie upande wa pili huyu mtanzania atatoa upinzani mkubwa wa 'supermarkets' ambazo zimedhibitiwa na makampuni ya afrika kusini.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom