Dar tightens securiyt amid growing al - shaabab security threat

Wananchi wengi wamepatwa hofu sana.

Wananchi wengi wanahofu sana kushambuliwa na Al shabab

Hata kama Polisi IGP wakisema ulinzi umeimarishwa, Al Shabab watashambulia tu.

Vinginevyo IGP atoe tamko na aruhusu maandamano ya amani ya kupinga Mswada feki
 
jukwaa la siasa nalo litoe tamko kuwa hakuna mwananchi yoyote kuhudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru, halafu tuone.
 
mimi mtanzania mwenzenu sielewi na inabidi amiri jeshi mkuu atuambie: je ameingiza nchi vitani kimyakimya?
 
Kweli hatuna jeshi jama tunashindwa kufanya mambo yetu ndani ya inchi kisa kikosi cha alshababi watu ambao hatujawachokoza kweli hapa naamini tunaishi kwa kudra za mwenyezi mungu mungu tusaidie kutulinda na kila janga kwani hatuna jeshi.
 
Kama wakizuia maandamano ya wananchi kupinga muswada wa kuandika upya Katiba kutiwa saini kwa kisingizio cha Al-Shabaab basi watanzania tujeukie migomo, tukiaanza na kugomea CECAFA Cup, kwani kama wameshindwa kutulinda katika maandamano watawezaje kutulinda katika burudani? Lazima tutee haki yetu ya kikatiba ya kukusanyika na kutoa maoni yetu!
 
....Jeshi la polisi limezuhia maandamano yaliyokuwa yamepangwa na JUKWAA LA KATIBA kwa ajili ya kudai haki ya mwananchi maskini aliyefanywa maskini na CCM kushiriki moja kwa moja kwenye hatua za awali za kuunda katiba mpya...Na sababu ni ileile AL-SHABAAB.........Hii ni sababu ya kipumbavu kabisa,jeshi gani lisiloweza kuwalinda wananchi? Mbona kuna mikusanyiko mingi inaendelea hakuna tishio la Al-shabaab? Kama jeshi letu linataka watu wenye akili tuwaelewe naomba tuhairishe MAADHIMISHO YA UHURU WA TANGANYIKA Desemba 9 na SENIOR CHALENJI CUP inayotegemewa kuanza kesho...Ama sivyo tumepoteza imani na hili jeshi.....
 
Hao Al Shabaab wamesema beef yao na Tanzania ni nini? Press ya Tanzania, ovyooooo
 
Back
Top Bottom