Mifereji ya maji machafu ya mwaka 1927, viongozi wako busy kuifisadi nchi wakati Dar inazidi kuharibika
Drainage system ni ya miaka ya 60 ambapo population ya Dar ilikuwa haifiki hata 200,000 sasa watu wameachiwa kujenga kiholela na jiji kupanuka sana lakini hakuna aliyekumbuka kupanua drainage system ili iweze kuhimili vishindo vya kukua kwa jiji kwa majengo na population anbayo ni zaidi ya 4 millioni matokeo yake mvua kubwa ya nusu saa tu Indian Ocean inahamia katika mitaa ya jiji. Ikitokea mvua kubwa kwa muda wa wiki kutakuwa na maafa makubwa sana. GOD FORBID!
Kikwete na Timu yako ya Mafisadi mpo hapo? au mnajifanya hayawahusu, sasa mtapita wapi baada ya kuifisadi nchi? au ndio mna mpango wa kununua vijihelikopta vyenu
Haya najiunga na ule msemo wetu Mungu tusaidie