Timtim
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 608
- 124
Imepita zaidi ya miezi 3 hapa Dar mjini kumebandikwa road signs nyingi tu kuashiria No Entry. Inaonyesha kuwa katikati ya jiji barabara zitakuwa na mabadiliko makubwa. Cha ajabu toka walipoweka signs hizo zikiwa zimefunikwa kwa magazeti hadi sasa karibia sign zote ziko wazi bila kufunikwa bado magari yote yanatumia barabara kama zamani. Swali langu jee wenzangu mwajuwa lini signs hizi zitaanza kutumika? Jee akija mgeni mjini si atatuona wehu hatujui maana ya road signs?