Dar Quiznite, Holy Ghost Fiesta, Dully Sykes Live na matukio mengine bomba!

Discussion in 'Entertainment' started by vusile, Oct 20, 2011.

 1. vusile

  vusile JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yafuatayo ni baadhi ya matukio bomba yatakayotokea Tanzania wikiendi hii. Bofya "link" yeyote upate tarehe, mida na taarifa nyingine za matukio hayo.

  Dar Quiznite @ Golden Tulip Win 1 Million Tshs Oct 21

  Opera Night @ The Russian-Tanzanian Cultural Centre Oct 21

  World Tourism Day Celebrations in Tanzania Oct 21

  WOMEN LEADERSHIP SERIES Oct 20 – 21

  A Christ Embassy Mikocheni B Holy Ghost Fiesta Oct 22

  Addictive Saturday Ladies Swaga Night @ Mafian Fish Lounge Oct 22

  Bikini party @ Jambiani Mfumbwi Oct 22

  Form Four Pen Down Party @ Hunters Club Oct 22

  Out Of Africa Ball @ Nduruma Polo & Country Club Oct 22

  Parenting With the Brain in Mind Seminar Oct 22

  Valhalla FC v Miembeni SC - Charity Football Match! Oct 22

  Chumbe Island Eco Yoga Retreat Weekend Oct 22 – 24

  Mind your Language comedy play @ The Little Theatre Club Oct 20 – 22

  Boxing - Deo Njiku Vs Jonas Segu @ Jamhuri Stadium Morogoro Oct 23

  Prince Dully Sykes Live Show @ New Maisha Club Oct 23

  Offside Trick Live Bongo Staz Nite @ Club Bilicanas Oct 23

  Rugby World Cup @ Zanzibar's Sports Café Sep 9 – Oct 23

  Rugby World Cup Showing Live @ The Arusha Hotel Oct 8 – 23

  ZoomTanzania.com inakupa nafasi ya BURE ya kutangaza Matukio ya kila aina Tanzania. Tembelea Tanzania Events Calendar uone na utafute Matukio mbalimbali Tanzania kwa kigezo cha tarehe, mahali au aina ya tukio.

  Kama unafagilia juhudi zetu za kukupatia taarifa na unataka kuungana nasi katika jitihada hizi, tafadhali tembelea Ukurasa wa Facebook wa ZoomTanzania na uwataarifu marafiki zako wote kwa “Kuupenda” Ukurasa wetu. Kama una tukio lolote kubwa au dogo, Litangaze BURE kupitia ZoomTanzania.com
   

Share This Page