Dar -NY or Nairobi NY (One Way Ticket)

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Wakuu, nimepata dharura. Naelekea kumsalimia mdogo wangu huko marekani. Kahalika naenda na mpwa wangu ambaye anaedna moja kwa moja. Naombeni kuwauliza bei ya Ticketi kutoka Dar hadi NY au Kutoka NBO hadi NY. Either one way au return

Au kwa wastani ni kiasi gani
 
Back
Top Bottom