Dar: Mihadhara ya kidini yapigwa marufuku!

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amepiga marufuku mihadhara yote ya kidini, hadi hapo hali itakapokuwa shwari.

Ameonya pia dhidi ya vyombo vya habari vinavyochochea udini kuacha mara moja kabla hatua husika hazijachukuliwa

Hili ni kosa jingine! Radio Iman iko hewani na vitendo vyake vya kichochezi ifungwe mara moja! Najiuliza uchochezi wa gazeti la MWANAHALISI lililofungiwa na serikali kama lilikuwa linapanda mbegu mbaya kuliko hii inayopandwa na radio Iman na kumwagiliwa maji na SERIKALI, kwa kutoifungia!
 
Nafiri ingetakuwa kupigwa marufuku nchi nzima,na pia hii radio imani kuchunguzwa kwa sababu inachangia kuongeza chuki.

Mkuu Radio imaan ofisi zake zipo pale wizara ya mabo ya ndani na Kamanda Suleiman Kova ndiyo Chief editor.

So hapo usitegemee kitu.

Teh teh teh teh............!
 
Hapo mkuu wa mkoa atakuwa ameongeza vibaka maana Yesu si Mungu ndiyo ilikuwa ajira yao ya kukusanya sadaka

Kabisa ndugu maana wakishamaliza shughuri yao ya kupondea ukristo na kuikosoa biblia na uchafu wao mwingine ambao hauna tija wanapitisha kikapu kuomba sadaka,sasa sijui wanaipeleka wapi zaidi ya kuitafuna,nimeshuhudia hiyo mwenge,bunju,wapigwe marufuku ata vurugu zikiisha,wakafanye misikitini.
 
Hawa hawana akili kabisa.....ina maana hali itakapokuwa shwari ndiyo wataruhusu wengine kukashfu dini
 
Mkuu hizo Radio huwa zinasaidia sana kuondoa majini na mapepo ambayo nyie huwa mnayafuga, pia kwa kufanya hivyo nazo ni janga la kitaifa?

Mkuu, Mtu akikuchunguza anaweza kuta unadigrii na hata masters ya mkopo wa Heslb ambao hata haujaanza kuurudisha.
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick amepiga marufuku mihadhara yote ya kidini inayokashifu na kukebehi imani za watu wengine, hadi hapo hali itakapokuwa shwari.

Ameonya pia dhidi ya waandishi na vyombo vya habari vinavyochochea udini kuacha mara moja kabla hatua husika hazijachukuliwa.

Kwahiyo mihadhara ya kukashifu Baada ya Hali KUTUMIA itaruhusiwa????
 
Waislamu sasa hivi wanatumia misikitu kumwaga sumu, wanatumiana SMS pia. Kupiga marufuku mihadhara haisaidii.

Bora watumie hata hizo, kwa sababu mwisho wa siku zinawafikia walengwa wao, kuliko kutumia radio ambazo ujumbe unatufikia na tunaoona kichefuchefu kuwaona watu wazima na madai ya kitoto hata mwanafunzi wa chekechea hawezi kuwa nayo!
 
Kwahiyo mihadhara ya kukashifu Baada ya Hali KUTUMIA itaruhusiwa????
Wenyewe hawaiti kukashifu, wanaita kuelimisha. Jamaa ni wachokozi kweli kwa dini za wenzao lakini wenyewe wakiguswa kidogo tu ni mihemko kwa kwenda mbele.
 
Hawa hawana akili kabisa.....ina maana hali itakapokuwa shwari ndiyo wataruhusu wengine kukashfu dini

Ndugu yangu, hawa wana akili, wanachotaka kutujulisha watanzania ni kuwa mihadhara hii ina mkono wa serikali. Kwakuwa sasa jahazi linaenda mrama wanawajulisha wasite kidogo, kisha watapewa maelekezo mapya namna ya kuendelea nayo! Sioni wanatetemekewa kama nani ili hali ni wahalifu, wanachochea fujo, na wanavunja sheria za nchi! Kwa kifupi ni WAHALIFU!!!!!!!!!!

 
sio mihadhara tu. Pia kuna dvd zinauzwa, hasa magomeni ambapo utawakuta waislam wengi wakisikiliza uchochezi na kuitikia takbiir!!!!! Hivi hiyo kitu maana yake nini?
 
sio mihadhara tu. Pia kuna dvd zinauzwa, hasa magomeni ambapo utawakuta waislam wengi wakisikiliza uchochezi na kuitikia takbiir!!!!! Hivi hiyo kitu maana yake nini?

Hehehe nawewe ni great thinker au great sinker? Mwehu we si ungeuliza kwanza maana ya hiyo takbir kisha ndo ukalalamika...sasa basi na tupige marufuku kusema haleluya!
 
Back
Top Bottom