Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Status
Not open for further replies.
Hawa wanapinga vitendo vilivyo fanywa na mahaka wakishilikiana na police kuwa nyima zamana watu walio gomea sensa pia inasadikika kuwa kunamama alikamatwa na police wakamuzalisha hadi akapada buridi ili hari mjamzito chazo hutuba ya leo msikiti wa mtoro.
 
Huku mjini naona makundi makubwa ya watu, wengi wao ndio wametoka msikitini wanaandamana kuelekea Ikulu. Naomba anayefahamu lengo la maandamano hayo anijuze.
 
Yanahusiana na nini?? Mambo ya sensa au kuna kingine?/

Katavi,
Hujue kuna Waislam wapo ndani kisa wamekataa kujiandikisha sensa haya maandamano yalikuwa ni ujumbe hao wote walioandama hakuna hata mmoja ambaye kaandikishwa.
 
Last edited by a moderator:
Dar es Salaam-20120907-00038.jpg
Nami nipo hapa nawasupport waislam wenzangu. Mpaka kieleweke
 
Hata mimi nimekutana nao, nadhani wametoka msikitini, tairi imejazwa upepo bila valve...tusubiri matokeo
 
Nimewashuhudia hapa PPF Tower, wako nyomi, ngoja tusubiri taarifa imekuwaje hapo Wizara ya Mambo ya Ndani!
 


sipo DAR mkuu!... ila nafurahi kuona waislam walivyo kuwa na umoja

umoja huu ungesaidia sana kama ungetumika katika mambo kama elimu na mahospitali.

wenzenu dini ile wako kimya hivi sasa utakuta wanajadiliana kupanua mashule na mahospitali.
 
Kweli wameandamana...wamepita hapa kwetu wanaimba, "waachiwe ndugu zetu"!
wapo wengi hao..
nadhani viongozi wao wameenda kuongea na waziri!
Mimi naomba kujuzwa lengo haswa la maandamano haya?
Na kwa mtazamo wangu mbona vijana ni wengi zaidi? wao ndo wameshika dini zaidi au!?? something smells fishy here...sijui ila hii nchi ielekeapo Mungu atusaidie na kutuepusha na shari zote...
 
Niwepo nisiwepo hakuhusu.
Waislamu ni kwanini mnakuwa na matatizo wenyewe kwa wenyewe mfano issue ya sensa
Rais- Mwislamu
Makamu wake- Mwislamu
Mkuu wa Policcm - Mwislamu
Kamishina wa sensa- Mwislamu

Ndio maana huwa nasema adui wa uislamu ni waislamu wenyewe?
  • Kwani kamishina wa sensa anakataa swali la dini
  • President nae anakata tena kwa msaha
  • Said Mwema anawaweka ndani waislam wanatete dini yao
  • Makamu anakuwa bubu
hapa tutegemee nini kwenye hili swala??
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom