Dar is set for Ruhudji hydropower station

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,011
Dar is set for Ruhudji hydropower station

By WILFRED EDWIN
THE EAST AFRICAN

Saturday, August 30 2008 at 16:04


Plans by Tanzania to construct a 358 MW hydropower station at Ruhudji River entered the decisive stage with the floating of the tender recently.

The Ministry of Energy and Minerals is seeking consulting services on financial and transactions to support the government and the Tanzania Electricity Supply Company (Tanesco) with the preparation, negotiation, and finalisation of the project’s financing.

The project, estimated at $800 million and to be partly financed by a loan from the World Bank, will be done via a Public Private Partnership approach to be developed per best international market practices in respect of risk allocation and fair and equitable returns to project participants.

To develop this, the government said last week it will engage a legal advisor to support the groundwork of the project, which include key project agreements and associated documentation.

It is expected that the technical part will be carried out simultaneously and a prospective financing plan put together by the project sponsors.

The legal consultant will be expected to help Tanesco and the government to ensure the project is developed and structured in a timely manner as a bankable project in a manner consistent with the best international market practices for PPP power projects.

In the wake of recent massive failures in many power purchase agreements, that saw many political leaders shown the door, the consultant will also ensure that in the agreements, the interests of the government and Tanesco are reasonably protected.

Ruhudji is one of several hydropower projects targeted by the Tanzanian government in its power master plan. Others are the Mchuchuma Coal fired plant (200MW), and the Rumakali Hydropower Development (222MW).

Around 90 per cent of Tanzania’s energy needs is met by woodfuel. Petroleum and electricity account for eight per cent of energy consumption while coal and other sources cover less than one per cent.

Tanzanian has tried to diversify its sources of energy, but with limited success. Electricity supply has been erratic because of the national grid’s heavy reliance on hydroelectric power.

Tanzania’s sole producer and supplier of electricity, Tanesco continues to face a severe budgetary shortfall, due to unpaid electricity bills by the government.

Experts argue that the country should choose the most appropriate interconnection point and to negotiate for power exchanges with Kenya and Uganda.

Serikali iliwahi kutoa ujumbe huu:
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Development of Ruhudji Hydropower Project
Sector: Energy

Consultancy for Legal Advisory Services towards Development of Ruhudji Hydropower Project

TENDER No. 01 OF 2007/2008

EXPRESSION OF INTEREST (EOI)

Background:

The Government of Tanzania (Ministry of Energy and Minerals) intends to finance the assignment/services described below. A request for grant financing for the proposed activity has been submitted to the World Bank managed Private Participation in Infrastructure Advisory Fund (PPIAF).

Objective:

The objective of the assignment is to help retain the services of legal advisors, in two phases, to support Government in negotiations for the project agreements as per market standards, which, in turn, will allow the timely development of the Ruhudji hydropower project. Under Phase I (subject of this request), the Consultant (Legal Advisors to MEM and TANESCO) will help develop, review, and negotiate key project documents such as the Project Development Agreement, Heads of Terms of the Concession Agreement and the Power Purchase Agreement for Ruhudji Hydro Power Project.

Design of the Project:

The Ruhudji hydropower project will be designed with the capacity of 358 MW to generate 2000 Gwh of electricity per annum. The Ruhudji hydropower project will be located on the Ruhudji River and the Project Cost is estimated to be in the region of USD 700-800 million. The project’s financial closure is projected to be achieved within 3 years. In Phase II (not the subject of this request), it is expected that further legal support will be required with respect to finalization of the concession agreement, detailed review of the construction contracts, mobilization of finance etc.

Invitation for Expression of interest:

The Ministry of Energy and Minerals now invites eligible consultants to indicate their interest in providing the services. Interested consultants must provide information indicating that they are qualified to perform the services (brochures, description of similar assignments, experience in similar conditions, for similar projects and in sub-Saharan Africa, availability of appropriate skills among staff, etc.).

Consultants will be selected in accordance with the procedures set out in the World Bank's Guidelines: Selection and Employment of Consultants by World Bank Borrowers May 2004.

Interested consultants may obtain further information at the address below. Expressions of interest must be received by regular mail, and preferably by electronic mail to the address below by August 17, 2007.

Permanent Secretary,
Ministry of Energy and Minerals
Samora Avenue
P.O. BOX 2000
Dar es Salaam,
Tanzania.

Att: E.S. Assey (Secretary to the Tender Board)

Telephone Contact: +255 22 134955
Fax Contact: +255 22 120799
E-mail: uisso@mem.go.tz

 
Hivi hatujajifunza kutokana na makosa ya Kidatu, Nyumba ya Mungu na Mtera?

Kwa nini hatuelekezi kwenye nguvu za nishati kutumia Upepo na Jua ambazo gharama za muda mrefu si kubwa kama kilichotokea kutokana na mabwawa ya maji ambayo yamejaa tope na kukosa maji kutokana na ukame?
 
Hivi hatujajifunza kutokana na makosa ya Kidatu, Nyumba ya Mungu na Mtera?

Kwa nini hatuelekezi kwenye nguvu za nishati kutumia Upepo na Jua ambazo gharama za muda mrefu si kubwa kama kilichotokea kutokana na mabwawa ya maji ambayo yamejaa tope na kukosa maji kutokana na ukame?


Tanesco na Wizara ina wahandisi wazuri ambao nina uhakika wana uwezo wa kufikiri zaidi yetu sisi wa kuropoka kwenye mitandao.

Kuzalisha MW 358 kwa kutumia upepo na uweze kuhifadhi huo umeme ambao unapatikana kipindi fulani alafu kipindi fulani unapungua sio jambo rahisi.

Kuongeee tu.... lakini tujue kwamba kuna wenzetu wanafanya hizi kazi wako gado zaidi yetu...
 
Ruhudji Hydro Power Project

  • This buyer is a part of the Songo Songo Gas Development Project.

Ruhudji Hydro Power Project operates in Tanzania.

The Ruhudji hydropower project will be designed with the capacity of 358 MW to generate 2000 Gwh of electricity per annum. The Ruhudji hydropower project will be located on the Ruhudji River and the Project Cost is estimated to be in the region of USD 700-800 million. The project’s financial closure is projected to be achieved within 3 years as a public-private partnership (“PPP”).
 
Tanesco na Wizara ina wahandisi wazuri ambao nina uhakika wana uwezo wa kufikiri zaidi yetu sisi wa kuropoka kwenye mitandao.

Kuzalisha MW 358 kwa kutumia upepo na uweze kuhifadhi huo umeme ambao unapatikana kipindi fulani alafu kipindi fulani unapungua sio jambo rahisi.

Kuongeee tu.... lakini tujue kwamba kuna wenzetu wanafanya hizi kazi wako gado zaidi yetu...

Yeah right, same Tanesco and Wizara with Wahandisi wazuri wenye uwezo wa kufikiri brought us IPTL and Richmond!

Kila mtu duniani anaanza kukimbilia umeme wa upepo na jua, sisi tunasubiri nini? kwa nini nasi tusiweke "gado" kuwa kweli na si kutuletea IPTL, Richmond au Kiwira nyingine?

Think Kashesh, think!
 
RUHUDJI???

Kasheshe.............hakuna mtu anayekataa miradi hiyo na kwamba hatuna wahandisi kama unavyodai...........watu hapa wanazungumzia experience ya WHITE ELEPHANT projects!...................unaanzisha kitu unsustainable and/or no plans for maintenance au unattainable maintenance plans zinakuwepo ili kujustfy UFISADI and at the end we left with another IPTLs and RICHMONDs..............hey............don't get me wrong..............i like the project and megawatts that will be produced............but ...hey.......what happened to what we have already........ which if they are maintained properly would suffice our needs and even sell out!!...............otherwise its RIDICULOUS!
 
jamani ebu naomba data za uzalishaji umeme leo hii kwa mji wa Dar... ni kiasi gani cha umeme kwa asilimia kinatoka Kidatu na ngapi toka mashirika mengine hununuliwa na Tanesco ktk kusambaza umeme kila siku...

Halafu mikoa mingine nchini inatumia njia gani kuzalisha na kusambaza umeme maanake kuna mikoa ambayo haina matatizo kabisa ya umeme toka tupate Uhuru...
 
Tanesco na Wizara ina wahandisi wazuri ambao nina uhakika wana uwezo wa kufikiri zaidi yetu sisi wa kuropoka kwenye mitandao.

Kuzalisha MW 358 kwa kutumia upepo na uweze kuhifadhi huo umeme ambao unapatikana kipindi fulani alafu kipindi fulani unapungua sio jambo rahisi.

Kuongeee tu.... lakini tujue kwamba kuna wenzetu wanafanya hizi kazi wako gado zaidi yetu...


Kama kweli unayoyasema basi hatungekuwa na miradi ya kifisadi ya IPTL na Richmond. Pamoja na wataalamu wa TANESCO kuikataa miradi yote miwili lakini mafisadi katika wizara waliilazimisha miradi hiyo na matokeo yake dhidi ya nchi yetu wote tunayajua.
 
jamani ebu naomba data za uzalishaji umeme leo hii kwa mji wa Dar... ni kiasi gani cha umeme kwa asilimia kinatoka Kidatu na ngapi toka mashirika mengine hununuliwa na Tanesco ktk kusambaza umeme kila siku...

Halafu mikoa mingine nchini inatumia njia gani kuzalisha na kusambaza umeme maanake kuna mikoa ambayo haina matatizo kabisa ya umeme toka tupate Uhuru...


Mkandara,

Right on the money! Tuanze kwa kuangalia ni nini mahitaji yetu ndipo tuanze sambaa.

Tayari kuna project ya umeme Singida na Dodoma kutumia nguvu za upepo na wanasema itakuwa na uwezo wa kuzalisha megawati 50 na kutosheleza Singida na Dodoma hata gridi ya Taifa kwa 10%
 
Someni hili..

SafeRedirect.aspx

Wind of change blows in Tanzania
By Daniel Dickinson
BBC News, Singida, central Tanzania


A group of villagers gather at the local bicycle repair shop at Njiapanda, a dusty roadside hamlet on the rift valley in Singida region in central Tanzania, to marvel at magazine pictures of massive electricity-generating wind turbines.

They have never seen anything like this before and are clearly impressed.
They will soon find out exactly what the turbines are like. In a matter of months, 24 of these 100m-plus-high power generators will be erected next to their homes, as part of the first commercial wind farm in sub-Saharan Africa.

This is one of the poorest parts of Tanzania. There is little agriculture, no industry, but one thing there is plenty of is wind.

It is an untapped resource, but one which could hold the key to providing much-needed electricity to central and northern Tanzania and kick-starting the development of the region.

==========

The people of Singida are expecting a lot of this project

Regional Commissioner Parseko Kone


The 24 turbines, which should be in operation within 18 months, will generate 50 megawatts (MW) of power, almost 10% of Tanzania's current power needs.

The company behind the $113m project is Wind East Africa. "It's important that Tanzania diversifies its power sources," says project manager Mike Case.

"The country is very reliant on hydro-electric power, which means in times of drought, there is a power deficit. Oil-generated power is very expensive, so wind power offers a cheaper and more reliable alternative."

Fewer blackouts

The demand for power in Tanzania is growing by more than 50 MW a year, fuelled partly by an expansion of gold and nickel mining in the north of the country.

At present, electricity is sourced from power plants more than 1000km away. The wind farm at Njiapanda will mean that power-hungry industries will soon be provided with electricity generated locally.

The wind farm will benefit the local economy, providing jobs during the construction phase and a handful of jobs when it is up and running.
Regional Commissioner Parseko Kone is also hoping the rest of his impoverished region will profit.

"The people of Singida are expecting a lot of this project," he says.
"They're hoping it will help to develop our economy and because wind is free, they're also expecting cheaper electricity tariffs."

It is unlikely that tariffs will come down, as electricity is already heavily subsidised, but it does mean that Tanzanians can expect fewer power blackouts.

Power play

Wind power on a commercial scale is unknown in sub-Saharan Africa, despite the existence of constantly blowing and consistently strong winds, especially along the top of the rift valley, the mountain plateau which runs through East Africa from Ethiopia to Malawi and Mozambique.

In Europe, the industry is well developed. Germany, the European leader in terms of generation, produces more than three gigawatts of power (3000 MW) from wind turbines. The target in many European countries is to have 50% of all power generated by wind.

Africa is now set to benefit from the progress made in Europe. The equipment is becoming cheaper, as well as more robust.

According to wind expert Dr Ladislaus Lwambuka, from the University of Dar es Salaam, Africa is now ready for wind power on a commercial scale.
"If the Wind East Africa project is a success, then it could lead to more wind farms, not just in Tanzania but in the rest of Africa, particularly along the rift valley, where we know the winds are strong."

There are already plans, if the first phase of the project goes well, to double the number of wind turbines and increase Wind East Africa's output to up to 100 MW.

The people of Njiapanda and the surrounding dusty plateau may not know it now, but this small part of the rift valley will, by then, be the epicentre of wind power in sub-Saharan Africa.

Story from BBC NEWS: http://news.bbc.co.uk/go/pr/fr/-/1/hi/business/7358776.stm

 
Mkandara,

Right on the money! Tuanze kwa kuangalia ni nini mahitaji yetu ndipo tuanze sambaa.

Tayari kuna project ya umeme Singida na Dodoma kutumia nguvu za upepo na wanasema itakuwa na uwezo wa kuzalisha megawati 50 na kutosheleza Singida na Dodoma hata gridi ya Taifa kwa 10%

Sasa hivi TANESCO ielekeze nguvu zake katika umeme wa kutumia nguvu za upepo ambao ni wa kuaminika zaidi kuliko ule wa nguvu za maji kama wa Mtera na Kidatu ambao kama mvua ikikosekana basi athari yake ni kubwa sana kwa nchi nzima.
 
Huu ni wizi mkubwa sana, Richmond Saga.

Kwa nini wasinunue Turbine 20 za MW 100 kila moja tungeweza kupata MW 2000 (ELFU MBILI) badala ya MW 358. Na gharama ya MW 100 ni sawa na $40 million. ambazo zinatumia gesi asilia ya hapa Tanzania. Pia tungeweza kuuza umeme mwingi sana nje na kurudisha gharama zetu.

Majizi wakubwa hawa.
 
Wana JF,

Nafikiri Mkandara amelianza vizuri hili swala. Wanaosifu na kulaani moja kwa moja sidhani kama mko sawa. Kama ni UFISADI basi huu utafanywa hata kwa umeme wa upepo au wa jua. Pia ukiangalia kama kweli mto huu uko Kagera, basi huko ni mbali sana na Songosongo kwenye Gas. Kusema uzalishe umeme na uupeleke huko inakuwa kichaa. Ni vema kila sehemu kuwe na umeme na wote uwe umeungwanishwa kwenye GRID. Tukikwama huku, basi tunazalisha kule. Pia chochote kikitokea njiani basi jamaa huko wana kuwa na uwezo wa kuendelea kupata umeme.

Tatizo hapa ni wizi wa kujenga. Inanikumbusha ile story ya "Akaja Mtanzania, akasema atajenga kwa Euro 290,000/-. Mia moja kwa ajili yake, mia nyingine kwa Waziri na 90,000 atampa Mgerumani ajenge..."

Kishoka, asante kwa hii habari ya Wind Generator. Nafikiri kuna haja ya hizi PANGABOY ziwe zinatengenezwa hapahapa Tanzania. Kama sikosei wanajenga kwa kutumia KATANI. Yaani nyuzinyuzi za katani wanazipulizia "Vitreous enamel??" na kuwa ngumu ila inakuwa nyepesi kutokana na katani. Sina uhakika na ninachokisema ina nafahamu kuna kitu kama hicho kinafanyika kutemgeneza kama BIRTHTUB, body za magari nk nk.
 
Yeah right, same Tanesco and Wizara with Wahandisi wazuri wenye uwezo wa kufikiri brought us IPTL and Richmond!

Kila mtu duniani anaanza kukimbilia umeme wa upepo na jua, sisi tunasubiri nini? kwa nini nasi tusiweke "gado" kuwa kweli na si kutuletea IPTL, Richmond au Kiwira nyingine?

Think Kashesh, think!

Kweli? Wakati mheshimiwa anataka kuchimba mafuta mpaka mlangoni? Mchina mwaka jana kafungua bwawa la tatu kwa ukubwa duniani katika kuzalisha umeme. na la pili pia liko kwake na karibia kuanza kazi.

Ni ukweli tunahitaji kutanua vyanzo vyetu vya nishati na sio kutegemea sana mabwawa. Lakini study zinaonyesha "...the trend in both Canada and the United States has been to micro hydro because it has negligible environmental impacts and opens up many more locations for power generation...".

Kama tuna maporomoko tuyatumie vizuri. Tatizo hapa ni namna gani ya kufanya hii miradi iwe ya faida kwa kizazi chetu na cha baadae. Hapo mimi ndio naona lipo tatizo.


2207d1220281280-dar-is-set-for-ruhudji-hydropower-station-ren2006.jpg


Tukumbuke na maji (hydro) ni kati ya renewable source of energy.
 

Attachments

  • Ren2006.jpg
    Ren2006.jpg
    15.8 KB · Views: 134
Sikonge,

Kidogo nikusahihishe ni kwamba hizo Pangaboi zinatengenezwa kwa Fibreglass ambazo hazitokani na katani, lakini ni jambo zuri uzalishaji wake nchini na linawezekana kabisa..halina gharama kubwa..

Rev. Kishoka,

Mkuu hoja yako nzuri sana hasa baada ya kusoma maelezo ya wataalam kuhusiana na nguvu za upepo mkoani Singida....Yaani hakuna idea bomba kama hii ya uzalishaji umeme kwa kuutumia mkoa huo wa Singida kuzalisha kwa ajili ya nchi nzima acha mikoa ya jirani tu, Singida inahitaji mradi mmoja mkubwa wa kitaifa kuuweka mkoa huu ktk ramani ya nchi maanake umesahaulika sana pia..

Unajua mkuu wangu haya maswala ya Hydro kusema kweli inabidi tuwe makini sana kwa sababu ni sisi tunaolalamika kuhusu mazungumzo ya Uganda na Egypt kuhusiana uvutaji maji zaidi toka ziwa Victoria kwa sababu ya ujenzi wa Hdro power huko Misri..

Sasa ajabu ni kwamba hiyo hydro yetu pia itakuwa na madhara hayo hayo tunayoyahofia tena direct kwa vijiji na wilaya ambazo nguvu za maji hayo zitapitia na pengine kuzua ukame ktk sehemu ambazo ni maarufu kwa ukulima na ndizi na kahawa. Hofu yetu kubwa ni kupungua kwa maji ziwa Victoria, jambo ambalo tunataka kulihalalisha ndani nyumbani...

nafikiri serikali inahitaji kufikiria upya swala hili kwani nina hakika kabisa uzalishaji umeme kwa nguvu za upepo ni cheap na salama kwa mazingira yetu kuliko gharama na athari za Hydro power kwani sasa hivi hydro nayo imepitwa na wakati..

Tunahitaji maji zaidi kuliko miaka ya uvumbuzi wa nguvu za hydro.. leo hii maji ya kutumia ni muhimu sawa na mafuta, na utabiri wangu unanambia itafika miaka mwenye maji atakuwa na Utajiri kama vile mafuta leo hii.. Kwa hiyo tuweni makini sana na kidogo tulichokuwa nacho...
Singida....what a location yaani upepo wa pale hatuwezi kabisa kuwa tunacheza kamari...kwa msemo wa JK, Singida ni - win win situation! tutakuwa tumelamba dume.
 
Hatupangi vipaumbele vyetu sawasawa kwenye hili pia tunaelekea kukosea pia. Kwanini mradi huu usiwe katika mto Rufiji ambao naamini ni mkubwa na wenye maji tosheleza kuliko huo Ruhudji na gharama za ku connect na grid ya taifa (tayari ipo pale Mkuranga) zitakuwa nafuu kwani ni less than 100km tu, besides songosongo project ishaweka miundo mbinu sawa ( njia ilimo pita bomba la songosongo) hili litakupunguza gharama za fidia na wananchi.

Sijui kwanini tumekuwa so fascinated na miradi mipya bila kuangalia versatality na miradi mingine
 
Last edited:
Back
Top Bottom