Dar is not safe!

Kwani hujui vyombo vya usalama vipo kwa ajili ya kulinda usalama wa "ruling elites" ?, Vibaka ni zao la watawala kuangalia masilahi yao zaidi na kuacha kugundua kua suala la ongezeko la vijana wasio na ajira ni threat for national security, wao wana-focus on manipulating elections to remain in power.Huwezi kuwa na amani katika nchi ambayo majority hawana uhakika wa kipato na kumudu maisha yao, ujue ni lazima nature itafanya kazi yake, kunyang'anyana kidogo kilichoshikwa na wachache walio vulnerable. Jitahidi utafute silaha ya moto ujilinde, Police are no more for probono, they are a bunch of thieves with authority to kill and paint you as "Jambazi", Tanzania sasa tumeingia kwenye sheria za porini "law of the jungle: the struggle for existence and the survival of the fittest." Kama huna nguvu utaliwa tu.
Very true!, I likua utapeli wameenda kulowa madirishani sasa wanavamia kwanguvu kesho itakuwaje, haijulikani.
 
Kwani hujui vyombo vya usalama vipo kwa ajili ya kulinda usalama wa "ruling elites" ?, Vibaka ni zao la watawala kuangalia masilahi yao zaidi na kuacha kugundua kua suala la ongezeko la vijana wasio na ajira ni threat for national security, wao wana-focus on manipulating elections to remain in power.

Huwezi kuwa na amani katika nchi ambayo majority hawana uhakika wa kipato na kumudu maisha yao, ujue ni lazima nature itafanya kazi yake, kunyang'anyana kidogo kilichoshikwa na wachache walio vulnerable. Jitahidi utafute silaha ya moto ujilinde, Police are no more for probono, they are a bunch of thieves with authority to kill and paint you as "Jambazi", Tanzania sasa tumeingia kwenye sheria za porini "law of the jungle: the struggle for existence and the survival of the fittest." Kama huna nguvu utaliwa tu.

Yes huu ndiyo ukweli na wanaongezeka maana maisha yanazidi kuwa magumu .Mbaya zaidi ni kwamba vibaka wa sasa wote hata kuandika na kusoma hawajui maana wametokea shule za msingi za kukaa chini na hakuna mwalimu .Hawajui lolote hata neno huruma kwao ni msamiati .Nimeipenda hii .Si Dar pekee hawa wako kila mjini mkubwa wa mkoa na wilaya wako .Au big centers penye movements za kutafuta maisha wapo na wanawadhuru mno watanzania wema .
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Hili ni janga la taifa
 
Mkuu Lunyungu, hali inatisha sana huo ndio ukweli wa mambo.
 
Vibaka wametake over vyombo vya usalama viko kimya, it just danger! Watu wanatekwa tekwa 2.
Hiyo mbona chamtoto! Mambo ndio yanaanza na mtatekwa tekwa sana hadi pale pengo (ombwe) kati ya matajiri na masikini mtakapolipunguzwa
 
Hiyo mbona chamtoto! Mambo ndio yanaanza na mtatekwa tekwa sana hadi pale pengo (ombwe) kati ya matajiri na masikini mtakapolipunguzwa
pengo halitazibika kwa maskini kugawana umaskini bali tajiri kugawana na maskini, wezi kuteka wanafunzi it will take 4rever to cover the gap
 
kama uchumi wa nchi ni mbovu na vibaka nao wanaongezeka (directly proportionary) na hii yote inatokana na ongezeko la mafisadi iz inversily proportionary 2 uchumi. hayo ndio maisha ya kibongo
 
Tatizo kubwa ni Demokrasia. Pinda alisema waua maalbino wauliwe; ikaleta kasheshe mpaka kizee kile kikalia Bungeni. Sasa na leo, akitamka Saidi Mwema au NAHODHA Shoot to KILL; itakuwa issue. Ila mimi naona bora wafanye kimya kimya! Kufanya kwenyewe ni kuwatungua, Watu wanaibiwa sana
 
Back
Top Bottom