Dar inatisha

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,072
18,258
1. Kuna familia baba, mama , na watoto wanalala chumba kimoja na hao watoto ni wakubwa miaka hata 10, sasa sijui huwa wanaenda guesthouse.

2. Wengine watoto wa kiume na wakike wanalala kitanda kimoja, wasichana waliobarehe kabisa na wavulana wenye base kama gitaa la base la kofiolomide.

3. Kisa na mkasa: Kuna kijana alikuwa anajipendelea porn usiku sebuleni ppeke yake wakati wengine wameenda kulala, taa zote kazima. Bahati mbaya dada mtu katoka, naye kajifanya kama anaona filamu ya kanumba. Mambo yalipo kolea walijshangaa wamesha jivua nguo na waemsha ...........

Wazazi kazi mnayo.
iStock_000001423281Large-1-centerlarge.jpg
 
....mungu ndie anayepanga,shukuru wewe haupo na style ya maisha hayo!hawapendi ila sasa wafanyaje?hata hiko chumba kimoja wanakaribia kufukuzwa,kodi haijalipwa miezi kadhaaa sasa
 
Kama hujui mkuu, hayo ndiyo maisha bora kwa kila mtanzania tuliyoahidiwa na watawala wetu. Usishangae!
 
Yote ni maisha kuna kupanda na kushuka, maisha kama haya si mtu anayapenda bali ni hali yenyewe ya maisha inalazim ni jambo la kumshukurt mungu kama mtu hujayapitia hayo maisha na kuwaombea walioko kwenyd hayo maisha mungu awafungulie njia
 
Kweli ndoo maana wazungu hawazai, au wanazaa kamoja tuu
 
Pana chemshwa chai ya rangi saa 5 asubuhi kitafunwa kila mtoto atajijua,saa 9 jioni ugali mkubwa mboga visamaki vido vidogo au kachumbari.usiku kila mtu atajiju.hakuna kufunga milango kila mtu na muda wake wa kulala iwe wa kike au kiume!life is soo simple!saa 4 asubuhi watoto wana cheza game kibandani
 
3. Kisa na mkasa: Kuna kijana alikuwa anajipendelea porn usiku sebuleni ppeke yake wakati wengine wameenda kulala, taa zote kazima. Bahati mbaya dada mtu katoka, naye kajifanya kama anaona filamu ya kanumba. Mambo yalipo kolea walijshangaa wamesha jivua nguo na waemsha ...........

Wazazi kazi mnayo.

ninatofautiana na wachangiaji walionitangulia..............................uzinzi na kubakana wanandugu ni mambo yanayoweza kuepukika...........kwanza tupange kuwa n familia ndogo hata kama khali ya uchumi inakuwa mbaya basi tuweze kujinasua au kupambana naoyo kwa unafuu zaidi........

pili malezi....................wazazi ndiyo nuru ya watoto......................watoto waliowengi hufanya jitihada ya kuiga tabia za wazazi wao maana huamini ndizo zitawapatia maisha bora.........................................mtoto wa nyoka ni nyoka tu....................ni usemi ambao mantiki yake iko wazi.......sioni maisha katika kuangalia porno halafu uamshe hisia na kuishia kujidhalilisha utu wako mbele ya dada au kaka yako baadaye utakapokuwa huru na tamaa hizo utajutia kujichafua mwenyewe na hakuna namna utafuta hiyo aibu...............
 
Umenena dada yangu kila mtu angependa awe kwenye bangaloo kama la Ridhiwan lakini haiwezekani.
umeona eeh? usikute na yeye alitokea katika maisha hayo hayo, si ajabu ana ndugu ambao maisha yao ndio yapo hivyo ila.
 
Sina maana ya kuwacheka wanaoishi chumba kimoja. Mbona haohao ndoo wanashinda baa. ina maana pombe ni bora kuliko athari wanazo zipata watoto??

Na mie naisho chumba kimoja.
 
ninatofautiana na wachangiaji walionitangulia..............................uzinzi na kubakana wanandugu ni mambo yanayoweza kuepukika...........kwanza tupange kuwa n familia ndogo hata kama khali ya uchumi inakuwa mbaya basi tuweze kujinasua au kupambana naoyo kwa unafuu zaidi........

pili malezi....................wazazi ndiyo nuru ya watoto......................watoto waliowengi hufanya jitihada ya kuiga tabia za wazazi wao maana huamini ndizo zitawapatia maisha bora.........................................mtoto wa nyoka ni nyoka tu....................ni usemi ambao mantiki yake iko wazi.......sioni maisha katika kuangalia porno halafu uamshe hisia na kuishia kujidhalilisha utu wako mbele ya dada au kaka yako baadaye utakapokuwa huru na tamaa hizo utajutia kujichafua mwenyewe na hakuna namna utafuta hiyo aibu...............

Ni kweli wengine ni uzembe na kuto kujali
 
....mungu ndie anayepanga,shukuru wewe haupo na style ya maisha hayo!hawapendi ila sasa wafanyaje?hata hiko chumba kimoja wanakaribia kufukuzwa,kodi haijalipwa miezi kadhaaa sasa

sina maana hiyo, hujajua key point hapo ni ipi
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom