Dar foleni leo kiboko

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
4,916
2,453
Wana jf mlioko maofisini msitoke muda huu kuna foleni ambayo kimsingi ni kwamba hakuna gari inasogea
 
Natumaini itajivuta vuta mpaka Jollies angalua nipate Castle Light baaaaarrrrrrrriiidi:heh:
 
Wana jf mlioko maofisini msitoke muda huu kuna foleni ambayo kimsingi ni kwamba hakuna gari inasogea

Inawezekana watu wa Kigamboni hawataki kuvusha magari kwenye kivuko kwa hofu ya Tsunami na wanaopita Old Bagamoyo Rd nao pia wanakwepa hiyo barabara.
 
Unawaambia wasitoke ofisini saa hizi wakati wewe unasepa.....unataka wenzako wakutwe na Tsunami?

Labda ungewashauri waache magari yao wapige mguu hadi Ubungo watafute usafiri wa Moro.
 
Mnakuja Gongomboto msije kabisaaa foleni imeanzia tazara hadi banana... updates
 
Me nipo kwenye foleni tangu saa kumi mpaka sasa sijafika naelekea posta njaa nimechoka balaa tupu hii miundo mbinu yetu hii eti miaka 50 ya uhuru
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom